Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dakika sifuri tu [emoji1787][emoji1787]Mwanaume ukitaka kufa mapema kaa na mwanamke anaye cheat
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
[emoji1787]Si wanasema mnakuwa mwili mmoja??yaani mimi niwe mwili mmoja na mwanamke??khaaa
Huyo wa kibaha huna hata hadhi ya kupata japo hata salamu yake tu.Pole sana, umenifurahisha hujachukia wanawake wote sababu ya mwanamke mmoja asiyejitambua huo ndio uwanaume[emoji4]
Cc [mention]cocastic [/mention] uduguu hii story inafanana na ya jamaa yetu wa kibaha [emoji1787][emoji1787]
Ukipiga "show" vizuri ndio huwezi kusalitiwa?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787]Vijana wenzangu pigeni show Vizuri,kuweni wakatili kwenye sex pelekeni mashine haswa.marijali hatuna huruma kwnye show
Huyo wa kibaha huna hata hadhi ya kupata japo hata salamu yake tu.
Tafuta wa hadhi yako. Nachomkubali huyo ni akili kubwa huwa hana time na magumegume
Huja tutendea haki lete story kamili kwenye uzi wake.Better nimepata sehem ya kutoa story yangu
True story
Itakuwa fupi kidogo kutowachosha wasomaji
Mwaka 2010 nilikutana na binti mmoja kwenye kongamano la dini chuoni (University) mm ni Rc but naendaga matamasha ya dini nyingine
It happen sometimes.
Bana tumekaa sehem jilan kila nikimuangalia roho inasema hapa ndo ile nchi ya ahadi
Nchi ya maziwa na asali
Mahali furaha na amani yako ipo
Nikamweleza ya rohon.dana dana mbilu tatu tukawa kwenye mahusiano.
Akila Diploma nikiwa degree kuna magali tutapishana mwaka mmoja
Kwa jinsi nilivyokuwa seruous na yule dada
Nishamtambulisha kila corner ya dunia including ndugu zangu.
Sitaki mtu alete story za ooo mapenzi na shule huwezi changanya
Hii ni big no kila.mmoja ana njia yake bana.
So
Good thing nilikuwa mpambanaji mno
Tena sana,niko chuo napata mkopo ila nina biashara zangu
Napata like 10,000 to 20,000 daily you can imagine na sikuwa mtu wa kwenda bar wala bata najua kanisani tu na restautants za mjin.
Ni kati ya wanafunzi chuoni niliishi maisha ya furaha sana ukichangia na baby wangu haaaaa
Full amani
Hapo kati panakuwaga na mapito ila hayakuwa magum
So
Mwaka 2011 mwezi wa 9 baby angu huyu kaja
Mji niliopo yeye kwao ni Dar
Lakin hakuna na furaha usoni
Na mwenye hofu kidogo
Nikamdadisi hakuweza sema lolote
Kama.kawa ile.game nilikuwa napiga pale it was a next level to date nasikiaga ile sauti masikion
Ile love cry.aisee its was a such beatifull moment.sijui unajua ile hali ya kupiga game na mwenza mnaependana na mnajuana vizuri
Ile ndo love feeling nzuri.
Sasa baada ya week mbili nikapewa taharifa ya mimba.
Kumbuka nilishaanza maandalizi ya engegement kimya kimya
Ile mimba ikafanya nisimamishe kila kitu.
Kama.kawaidia nikaanza kuhudumia
Yeye kamaliza chuo tukakubaliana nenda home kwenu.
Then i will support kila kitu na trust me mm ndo mme wako
So.its was ok maisha yakaenda.
Mm ni wale tunapataga ndoto ya matukio sometimes before hayajayokea
Usiku mmoja nikapata ndoto
Ikiwa na maelekezo yenye options
(Ndoto ikanambia mwenzio anajifungua leo mtoto wa kiume,fine mpe jina la John and imediately muite mama Johh,but when it happen in either way jina likaombwa kibadiliswa then mtoto si wako)
Da its was a very difficult message to me usiki ule
Kweli alfajil naamka na simu ya baby ananambia Baby mbona hunipi Hongera
Nilajibu hongera my love kwa kuniletea mtoto wa kiume (jembe) please rename him John
Sawa mama John mke wangu mtarajiwa
Aisee ilikuwa trh 6 June.2012
Hapa nishawambia washkaji zangu chuo ndo tunaingue final exams bado kama week 3 ama 4.
Inafika trh 10 june napokea ujumbe usiniite mama John niite mama Brian
Sikui unaweza hata hisi ile feeling niliyopitia
Kale ka chozi ka uchungu
Ile.stress ya kujua tu ukweli.
Aisee nilipiga simu kama 3 ni kweli aliogopa na kunambia ukweli
Nakauliza why this.
Kajibu niliogopa kukupoteza maana ww ni mwanaumw bora sana nimewahi ona and sikuwa na jinsi niliona ww ndo chaguo sasa ni shetani amenipitia.
Nimepunguza vitu
But laana zipo bana
Nilimwabia nakufungia baraka na leo mm nalia kwa uchungu siku nikinyamaza utaanza kulia wewe unless nikufutie kifungo.
Hapo kuna story nyingine achana nayo kwanza.
Kwa sasa niko na familia yangu
Mwanamke mwingine mwema tu
Watoto 3 maisha mazuri yenye baraka na amani.
Story ya dada ilihitimishwa na mmoja wa rafiki zake alinambia jambo moja
SHEM HUYU HAKUWA CHAGUO LAKO TOKA KWA BWANA.SONGWA MBELE ATAKUJA SAHIHI.
end ingawa nimepunguza contents.
Umesema wewe ila case nyingi nimeangalia wengi ni masharobaro show zaoUkipiga "show" vizuri ndio huwezi kusalitiwa?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787]
PumbavuNi jambo jepesi mno kwa sisi wanaume ambao tunavuta bangi.
1. Mwanamke ni dhaifu kosa lolote likitokea msamehe Saba mara sabini.
2. Jifunze kuwa mwepesi wa kusamehe haijalishi ni kosa gani umetendewa.
3. Tumia Sana bangi kupanua wigo wa akili, mtazamo chanya, maamuzi sahihi, kwa siku vuta pisi 8.
4. Kuna makosa mangapi unafanya ila Mungu Mwenyezi anakusamehe, wewe ni Nani hasa ushindwe kusamehe wengine.
5. Mrudie mkeo tunza ndoa, tunza watoto, maisha mengine yaendelee acha kuwa na Mambo mengi.
[emoji4][emoji854]
😀😀 kujikaza kwenyewe ndio huko huambatana na maamuzi magumu kama ya mwanetu mwenye uziTunaelewa inauma mjikaze tu😀😀
Ni kweli kabisa..msamaha sio haki ni hiari kabisaHalafu suala la mtu kusamehe ni uamuzi binafsi wa aliyekosewa
Wazazi na viongozi wa dini hawatakiwi kabisa kuingilia na kumfanyia maamuzi au kumshauri iwe ni kumshauri kusamehe au kutosamehe
[emoji1787][emoji1787]Pumbavu
Mwanamke aki-cheat, kunakiwa na changes kubwa mnooo ndani ya nyumba, wengi huanza kujibu hovyo waume zao, viburi huongezeka + dharau, hii hufanya maisha kuwa magumu zaidi kwa mume!Ninawaza tu,ni ndoa ngapi zingevunjika kisa mwanaume kuzaa nje.Mrudie mkeo.Ina maana wewe hakuwahi kuzini?Ingetokea wewe ndo ungezaa nje,ndoa ingevunjika ?Kishakuambia ni bahati mbaya,amekuomba msamaha. Msamehe mrudiane.
Hakuna haja ya kutaka kumuonyesha x wako kua una mwanamke mwingine,kitendo cha kuwaza eti umringishie kina ashiria kua bado una umia kumuacha,wewe ishi maisha yako wala huna haja ya kuishi ili fulani eti akuone unaishije.Nipo sasa nimerudiana na mdada wa kinyarwanda, sijui kama anampango wa kuolewa huko kwao sijui ila nipo nae sasa japo tunakutana siku moja moja sana.
Ila napanga siku my ex wife anikute na mrembo wa kitutsi japo kanizidi urefu kidogo, si unajua watutsi walivyo warefu.
Nataka siku anikute nae nimringishe mwezi uliopita nilijaribu ila sikufanikiwa coz maeneo tuliokuwepo kulikuwa na watu wazima na wengine nafaamiana nao so nikaona noma.
Ni Bora ukamrudia huyo mkeo ukute huyo mnyarwanda anakupiga matukio zaidi ya huyo mkeo, ni vile umeamua kujizima data tu.Mimi nipo fresh na maisha ila nimeleta story yangu,
Na Naamini alikohuko ni mtu wa kujuta sana tena sana kwa sms anazonitumia zinanisikitisha shana ila wala simuitaji.
Kwa sasa nimerudisha mahusiano na mrembo ya kinyarwanda japo sikutaninae mara kwa mara, kwa mwezi kama mara moja hivi.
Mrembo balaaa
Kuwa karibu na mke sio guarantee ya kutopigwa tukio, hawajitambui tu.Robert Heriel Mtibeli mzabzab
Njooni huku, hawa wadada wanasema kuwa wanataka mume ambaye atampa uhuru, sasa uhuru wakipewa na kigari juu wanabadilika ,
Ukisema wakae home mda water hawataki wanasema mume wangu anipi uhuru, ukisema basi tuwe wote mda wote pia wanasema mume wangu hanipi uhuru.
Sasa dada yetu Kapeace anasema tusiwaache wake zetu kama Adam alimuacha mkewe mpaka akadangaywa na Joka.
(Ni kweli alichosema maana MUNGU alisema mke na mume wawe wote all time)
Sasa iweje sometimes wanataka uhuru wa kwao?
Condom utaitumia weee ila ipo siku hutoitumia. Zinaa ndo ya kuikwepa.Sijui mimi ni mjinga au sielewi! Hivi kuna kutaniko la mwanamke na mwanaume kwa wakati huu lisilo husisha condom?
Inakuwaje mtu mke wa mtu unaenda kavu na mtu?