Kabisa mkuu.Huhendekeza ngono ndio chanzo za ongezeko la single mother, street childreni na umaskini wa kutupwa kwenye familia.
Nchi yenye watu wa namna hii itakuwa maskini hadi Yesu anarudi
Ngono kupitiliza na umaskini huwa vinaendana, kufanya ngono sana inapunguza sana thinking capacity.