MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Mwanamke akichit USIMSAMEHE.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo watakaopoteza kwa niaba yakoSiwezi kupoteza muda sababu ya mwanamke.never
Ni kuishi nao kwa maarifa mkuu, siyo akili.wasiwasi wangu huenda kukatokea maafa ktk malumbano kuhusu huyo mtoto,,, nilishaongea sana inatosha Ivan, wakiuana tutazika🙌🙌wanaume mko wajinga sana mlisisitizwa mtumie akili kuishi na mwanamke, huwa hamzingatii hiyo sentensi
Ilimue huru kucheat kama sisi inabid nyie ndo mue mnatongoza, nyie ndomue mnalipa mahari nanyie ndomue mnatugharamia hapo ndo mtajua uchungu wakucheatMada za hivi zimekuwa nyingi, nyie wenyewe mnajisifia michepuko acha mpigwe, kulia kupokezana
Ndio hapo sasa tunasema Kataa ndoa ndoa ni utapeli😀😀Wapo watakaopoteza kwa niaba yako
Vyovyote ilmradi uweze kumbana na kucheza na akili yakeNi kuishi nao kwa maarifa mkuu, siyo akili.
Tunarudi kulekule kwa aina yako hii usiishi na mwanamke, problem solvedNdio hapo sasa tunasema Kataa ndoa ndoa ni utapeli😀😀
Unamjua Reinhard Bonnke?😂😂😂Kwa akili hizi usiishi na mwanamke bro
Hayo ya ngono umeyaleta wewe utakuwa unaipenda sana ngonoUnamjua Reinhard Bonnke?
Alikuwa mwinjilisti ALIYEKUWA anahubiri Africa, unamjua mkewe alikuwa anamwacha wapi? Alikuwa anamwacha Ujerumani yeye anafanya kazi ya Mungu, mkewe kamzalia watoto ni copy and paste.
Wanawake acheni kuleta visingizio, too much sex ni umaskini.
Angalia tu hii nchi ni mambo ya kuvua chupi tu na hatuna maendeleo yoyote ya kujivunia, nafahamu ngono ni muhimu ila pia kuna vitu vingine ni muhimu kuliko ngono yenyewe maana ngono haikulishu, haikuvalishi Wala haikupendezeshi.
We oa tu bro ila fanya analysis kumjua ni aina gani.Ndio hapo sasa tunasema Kataa ndoa ndoa ni utapeli😀😀
No najibu hoja ulizomwambia mshkaji alivosema kuwa muda mwingi anakuwa anafanya kazi, we ukasema asiishi na mwanamke.Hayo ya ngono umeyaleta wewe utakuwa unaipenda sana ngono
Twende in deep Zaidi, (naomba isiwe hivyo)Unafikiri nina neno basi kaka namshukuru Mungu kanijalia uzao na mwanaume wa kunikeep bize,, ila ikitokea dogo kalala usingizi wa milele bila hili kushtukiwa hiyo dogo sitashiriki hata kwa sh 100, bora mtoto uliyemkuta ukajua sio wako kuliko wa kubambikiwa aisee
Soma kurasa zote hasa huku mwishoni, kusema utumie muda wako kuwa na mwanamke wako karibu haimaanishi ngono walau itakusaidia kuona mabadiliko nkNo najibu hoja ulizomwambia mshkaji alivosema kuwa muda mwingi anakuwa anafanya kazi, we ukasema asiishi na mwanamke.
Nikaangalia maoni yako mengi umebase huko since from the beginning, nikaamua nikujibu hivyo.
Sinaga shobo na visivyonihusuTwende in deep Zaidi, (naomba isiwe hivyo)
Mfano ikatokea huyo huyo mdogo wako akalala, na hakuacha uzao isipo kuwa huyo mwenye contradiction, huo mtoto pamoja na kutengwa na wakina nyie shangazi, akapambana na kufikia kilele cha mafanikio, utazungumza lugha hii wakati huo?
Ndo maana nikatoa mfano wa Reinhard Bonnke, kamfatilie, hakua na time na mke wake but still hakumsaliti mpaka anaondoka duniani akiwa na 79 years of age.Soma kurasa zote hasa huku mwishoni, kusema utumie muda wako kuwa na mwanamke wako karibu haimaanishi ngono walau itakusaidia kuona mabadiliko nk
😂😂😂Una vielement km vya huyu shemejio, sio vizuri lakini kumuacha mtoto wa watu miaka,, hata akifanya dhambi hapo kiukweli hata Mungu atamsameheNdo maana nikatoa mfano wa Reinhard Bonnke, kamfatilie, hakua na time na mke wake but still hakumsaliti mpaka anaondoka duniani akiwa na 79 years of age.
Umalaya ni tabia ya ndani, Kuna wanawake unaweza waacha hata 2 years hawafanyi ujinga kwasababu ni tabia.
Ukiona mwanamke anakutaka muda wote , that's a red flag
Sina element za huyu maana Mimi nisingemchukua hata huyo mtoto wa kike aliyefanana naye, ningemwambia aende na wanaye na wasitumie jina langu.😂😂😂Una vielement km vya huyu shemejio, sio vizuri lakini kumuacha mtoto wa watu miaka,, hata akifanya dhambi hapo kiukweli hata Mungu atamsamehe
Huhendekeza ngono ndio chanzo za ongezeko la single mother, street childreni na umaskini wa kutupwa kwenye familia.Unamjua Reinhard Bonnke?
Alikuwa mwinjilisti ALIYEKUWA anahubiri Africa, unamjua mkewe alikuwa anamwacha wapi? Alikuwa anamwacha Ujerumani yeye anafanya kazi ya Mungu, mkewe kamzalia watoto ni copy and paste.
Wanawake acheni kuleta visingizio, too much sex ni umaskini.
Angalia tu hii nchi ni mambo ya kuvua chupi tu na hatuna maendeleo yoyote ya kujivunia, nafahamu ngono ni muhimu ila pia kuna vitu vingine ni muhimu kuliko ngono yenyewe maana ngono haikulishu, haikuvalishi Wala haikupendezeshi.
Mwanamke hata umfanyie nini hawi wa njia moja wakati wote!Soma kurasa zote hasa huku mwishoni, kusema utumie muda wako kuwa na mwanamke wako karibu haimaanishi ngono walau itakusaidia kuona mabadiliko nk