Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
Amesamehe..ni kiben 5Mumeo anajua ?
Kama anajua alichukua uamuzi gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amesamehe..ni kiben 5Mumeo anajua ?
Kama anajua alichukua uamuzi gani
Tunaelewa inauma mjikaze tu😀😀Mnakera sana
Mwanamke akicheat huwa inatuumiza sana wanaume tunawapambania sana
Kwakweli mm nitajulikana tangu mimba maana nikiwa na mtuwangu Sina kaba tukikaa vibya tunasengenya Siri kama hizo nzito mno kumficha mtu unaelala Bora niondoke tu nitauliwa 😂😂😀😀😀😀
😂😂Mm wa kujishtukia ningeshahama na nyumbaNa nilimuuliza muhusika kuwa mtoto hajafanana na yoyote iwe kwako wala kwetu,, akajibu tu kwa aibu hata sijui kafanana na nani huyu mtoto ila hakuwa na furaha,,😂😂😂😂nikacheka tu😂😂😂😂
😂😂😂Ni kinyaa, ni huzuni ni udhalilishaji kumbabikizia mtoto mwanaume, namtizama dogo naumia lkn namcheka namdharau namuona km fala la mwisho ametuvua nguo, ila akili bado haijamsogea muda upo litaibuka nitampa vidonge😂😂😂nitaalika na ulinzi maana anaweza kunibutua😂😂Mm wa kujishtukia ningeshahama na nyumba
Aisee sasa uhuru gani tena wanataka hawa? Wakienda makazini wanagegedwa, wakiwa nyumbani wanagegedwa...shida tupuRobert Heriel Mtibeli mzabzab
Njooni huku, hawa wadada wanasema kuwa wanataka mume ambaye atampa uhuru, sasa uhuru wakipewa na kigari juu wanabadilika ,
Ukisema wakae home mda water hawataki wanasema mume wangu anipi uhuru, ukisema basi tuwe wote mda wote pia wanasema mume wangu hanipi uhuru.
Sasa dada yetu Kapeace anasema tusiwaache wake zetu kama Adam alimuacha mkewe mpaka akadangaywa na Joka.
(Ni kweli alichosema maana MUNGU alisema mke na mume wawe wote all time)
Sasa iweje sometimes wanataka uhuru wa kwao?
Kabisa Yani Bora udai talaka tu aisee kuliko Kuishi na mateso ya kujishtukia kma umejikojolea 😂😂😂😂Ni kinyaa, ni huzuni ni udhalilishaji kumbabikizia mtoto mwanaume, namtizama dogo naumia lkn namcheka namdharau namuona km fala la mwisho ametuvua nguo, ila akili bado haijamsogea muda upo litaibuka nitampa vidonge😂😂😂nitaalika na ulinzi maana anaweza kunibutua
Kuna wanawake washenzi ila na mwanaume anakuwa poyoyo zaidi ni kama tahira tu asiyetema udenda, mi navojua mwanaume inabidi ukae chonjo shtua mara moja kawapime watoto, na ukisoma wengi humu walipata dalili lkn wakapuuziaKuna jamaa nae nilisikia watoto 2 kati ya wanne sio wake nikiwaona wale watoto roho inaniuma balaa utasema nduguyangu nyie 😂😂😂watu Wana Siri ndoa Ina miaka 16 mamamtu mkavu😂🙌
Kabisa Yani Bora udai talaka tu aisee kuliko Kuishi na mateso ya kujishtukia kma umejikojolea 😂😂😂😂Ni kinyaa, ni huzuni ni udhalilishaji kumbabikizia mtoto mwanaume, namtizama dogo naumia lkn namcheka namdharau namuona km fala la mwisho ametuvua nguo, ila akili bado haijamsogea muda upo litaibuka nitampa vidonge😂😂😂nitaalika na ulinzi maana anaweza kunibutua
Hahahaaaa vile vistori vya usiku vya hapa na pale.Kwakweli mm nitajulikana tangu mimba maana nikiwa na mtuwangu Sina kaba tukikaa vibya tunasengenya Siri kama hizo nzito mno kumficha mtu unaelala Bora niondoke tu nitauliwa 😂😂
Tena na hao viongozi wa dini wanaojiita kushauri watoe baru au watongozee wake zaoMwanamke akitoka nje ya Ndoa
Ukathibitisha hupaswi msamehe kabisa
Mwanamke ukimdaka na mwanaume hupaswi kabisa kuendelea nae au kuongea naye, we muache hata kama mna watoto muache atajijua mwenyewe
Sasa sisi tutajali mambo mangapi? Huku tuko bizekutafuta maisha tena tuwe bize kuchunga watu wazima? Kosa ni la mbambikiaji.😂😂 Yani Ivan ni hivi mi mwnyw hapa dogo wangu toka nitoke kabambikiziwa mtoto mwenyewe yuko na moto wa kulea hakuwahi kuwa na mtoto😂😂😂 lakini mtoto sio wake na hajui km kapigwa, namcheka tu mambo mengine wanaume mnayataka wenyewe,, huyo binti nilikiwa namkuta amebambiwa mara kibao, mtoto wa kike kazaliwa anafanana na jamaa mmoja niliyewahi kumshtukia na dogo nilimwambia kabla,, baada ya miezi km 2 napewa taarifa kuna mimba,, nikatulia,,,,,, miezi 9 hii hapa mtoto ana mwezi na nusu sasa ila ndo nilipotumiwa picha tu,,,,nikashtuka nikamkubuka jamaa km shangazi mtu nikaumia lakini ndo hivyo nimebaki kutoa macho tu,, na kabla ya kujifungua niliota ndoto isiyo na ishara njema
Kwahiyo sometimes mnapigwa kwa uzembe na kutojali kwenu,
😂😂😂Kwa akili hizi usiishi na mwanamke broSasa sisi tutajali mambo mangapi? Huku tuko bizekutafuta maisha tena tuwe bize kuchunga watu wazima? Kosa ni la mbambikiaji.
Kwa nini unibambikie kama hunitaki si uniambie tu?
Unafikiri nina neno basi kaka namshukuru Mungu kanijalia uzao na mwanaume wa kunikeep bize,, ila ikitokea dogo kalala usingizi wa milele bila hili kushtukiwa hiyo dogo sitashiriki hata kwa sh 100, bora mtoto uliyemkuta ukajua sio wako kuliko wa kubambikiwa aiseeKapeace msemo wa kitanda hakizai haramu haukuanza unfortunately, kuna kitu kilitokea wahenga waka conclude kwa huo msemo.
Wewe acha iwe hivyo ilivyo kwa bro wako maana Isha kiwa hivyo na na chochote kinachokuwa huwa hakiwi bila makusudi, acha kusudio liwe.
Siwezi kupoteza muda sababu ya mwanamke.never😂😂😂Kwa akili hizi usiishi na mwanamke bro