RungulaBwana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2018
- 219
- 352
.Nipo sasa nimerudiana na mdada wa kinyarwanda, sijui kama anampango wa kuolewa huko kwao sijui ila nipo nae sasa japo tunakutana siku moja moja sana.
Ila napanga siku my ex wife anikute na mrembo wa kitutsi japo kanizidi urefu kidogo, si unajua watutsi walivyo warefu.
Nataka siku anikute nae nimringishe mwezi uliopita nilijaribu ila sikufanikiwa coz maeneo tuliokuwepo kulikuwa na watu wazima na wengine nafaamiana nao so nikaona noma.
Ukiona unafanya jambo ili ''umkomoe'' ex wao ujie bado una feelings nae mkuu wether you wouldlike to admit it or not.
.
Kama umeamua kuachana nae, piga block kila mahali, futa kumbukumbu zote ulikuwa nazo then move on.