Tulioacha wake zetu kwa sababu ya usaliti waliotufanyia tukutane hapa

Tulioacha wake zetu kwa sababu ya usaliti waliotufanyia tukutane hapa

Nilimwambia kuwa mtoto ni mweupe mbona
Alijitahidi kuniomba msahama , pamoja na mama yake na dada yake kwa pamoja ila mimi wala.

Mama yake alienda mbali na kusema kama mtoto hutamkubali basi yeye atakaa na mtoto ila mwanae nisiwache.
Kwani wewe upoje? Yaani wanakuchukuliaje?
Kuna kipindi mke wangu alijaribu kumtumia my brother ili kunisamehe ila ilishindikana.
Kwani wewe upoje? Yaani wanakuchukuliaje?
Na alileta kisingizio cha ndoa yetu ni ya kanisani.
Bado najiuliza, upoje upoje, yaani watu huwa wanakuchukuliaje?
Mwishowe nilijikuta naingia kwenye mahusiano na mnyarwanda mmoja mdada nilikutanane zanzibar, katika safari zangu za kupunguza stress.
umestresishwa na mahusiano unaenda kupunguzia stress kwenye mahusiano??
Sasa tangu ex wife wangu kujua hio kuwa nina mtoto na mama yake katangulia ,
Sms , simu sana anaomba turudiane ili anisaidie kunilelea mtoto.
Bado najiuliza kama watu wanakuchukuli serious au comedian?
Simu ni nyingi mpaka naona kero, kuna siku alienda mpaka kwa wazazi wangu anawaomba wajaribu kunishawishi yeye yupo tayari kulea mtoto kama wake.
Dah...hadi wazazi wako nao wanaingilika kabisa? Is there something wrong in your family?
Ila mimi kwa usaliti ule daaa. Sina hisia nae kabisa.
Msimamo mzuri sana, ila wanakuona haupo serious.
Ila najua kwa nini anataka kurudiana na mimi.
Mimi kwa sasa maisha yangu yapo fresh sana tena fresh.
Hilo la kung'ang'ania mrudiane nabaki najiuliza sana. Sijui jamii yako inakuona fresh prince, sijui inakuonaje? Maana sielewi kabisa.
Home wananishauri turudiane coz wote tunawatoto nje.
Jeeesuuu...kwenu kabisa??? Aisee, there is something wrong huko kwenu.
Ila mimi kwangu nimesema NO.

NB; AKINA DADA SISI WANAUME MNAVYOTUCHEAT UWA TUNAWAZA VITU VINGI SANA , JUST IMAGE UMEMTOLEA MAHARI MKE KAMA MIMI NILITOA 3.5 MILLION, NDOA UNAGHARAMIA, UNAMLETA NYUMBANI KWAKO, UNAMUHUDUMIA , MPAKA UNAMPA NA GARI MWISHOWE UNAAMBULIA USALITI , SISI WANAUME TUNAUMIA SANA NA KUWAZA MENGE, WHY KAFANYA HIVI????
Na je, anaposema shetani alimpitia, Je huyo jamaa aliyempa mimba ni shetani kweli au ni mtu tu wa kawaida?
 
Robert Heriel Mtibeli mzabzab
Njooni huku, hawa wadada wanasema kuwa wanataka mume ambaye atampa uhuru, sasa uhuru wakipewa na kigari juu wanabadilika ,
Ukisema wakae home mda water hawataki wanasema mume wangu anipi uhuru, ukisema basi tuwe wote mda wote pia wanasema mume wangu hanipi uhuru.
Sasa dada yetu Kapeace anasema tusiwaache wake zetu kama Adam alimuacha mkewe mpaka akadangaywa na Joka.
(Ni kweli alichosema maana MUNGU alisema mke na mume wawe wote all time)
Sasa iweje sometimes wanataka uhuru wa kwao?

Uhuru wape lakini Uhuru wenye mipaka.
Kila mtu anahaki ya kuwa huru lakini Uhuru wenye uadilifu.
Sio uhuru wa kihuni, umalaya, ushambenga, usorokwinyo.

Uhalifu, umalaya, na aina yoyote ya ubaya ambao Mwanamke anautaka hauitwi Uhuru Bali unaitwa ushetani.
Na lazima afukuzwe
 
Back
Top Bottom