Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo sasa nimerudiana na mdada wa kinyarwanda, sijui kama anampango wa kuolewa huko kwao sijui ila nipo nae sasa japo tunakutana siku moja moja sana.Ulimchelewesha sana, vuta chuma kingine
Daaa mwanangu we sikia tuu,Wanazingu sana 😅
Ndo maana tunaona bora tutunze tu vibunda vyetu
Jamaa kalipia mahari 3.5m na kamnunulia Harrier bado anamtunza af anaenda kumvulia chupi kashikaji tu karibu na mke anapofanya kazi
SawaHio katuni ya utunzi katika hadithi
I know, hata huyu anatabia ya dharau flani hivi.Sema hao wanyarwanda kama tabia zao kama wabaya tu [emoji16][emoji16]
Yaani kila muda ukikumbuka kuna muda ilikuwa ikichomoka anairudishia mwenyewe na mkono.Mwanamke akitoka nje ya Ndoa
Ukathibitisha hupaswi msamehe kabisa
Mwanamke ukimdaka na mwanaume hupaswi kabisa kuendelea nae au kuongea naye, we muache hata kama mna watoto muache atajijua mwenyewe
Hio kampuni inaitwa crystal venture ipo rwanda sio bongoHpo uliposema huyo mdada wa kinyaruanda anafanya kazi Kwenye kampuni ya ................ Wakulungwa walikuwa wanaamkia Kwenye hzo ofc kesho
Ninawaza tu,ni ndoa ngapi zingevunjika kisa mwanaume kuzaa nje.Mrudie mkeo.Ina maana wewe hakuwahi kuzini?Ingetokea wewe ndo ungezaa nje,ndoa ingevunjika ?Kishakuambia ni bahati mbaya,amekuomba msamaha. Msamehe mrudiane.Habari wana jf. Leo na leta kisa changu hiki kilichonitokea nina miaka 38 sasa. Ni Baba wa watoto 2 nilizaa na wanawake wawili. Wa kwanza mke wangu wa pili niseme kama mchumba tuu.
Miaka kama 12 hivi iliyopita nilikutana na mdada mmoja kanisani, nilimpenda kwa muonekano wake hasa mavazi yake ya heshima. Na maneno yake na sauti yake ilikuwa nyembamba kiasi.
Nilijitahidi na nikafanikiwa kuingia nae kwenye mahusiano tulikaa kwa miaka miwili hatimaye nikafanikiwa kuingia kwenye ndoa Takamine.
Tulikaa kwa muda kwenye ndoa mpaka kuweza kupata mtoto mmoja wa kike. Mimi na mke wangu ni black niseme na hata kwao mke wangu ni black na kwetu mimi pia ni hivyo. So dogo alikuwa ni black kama sisi.
Tuliendelea kwenye ndoa nakumbuka siku mmoja mke wangu aliniambia kuwa yeye hapendi mwanaume msaliti kwenye mapenzi na kama akisaliti basi asijue kabisa.
Mimi ni mfanyabiashara nina biashara zangu tuu. Mke wangu yeye ni mfanya kazi wa benk moja hivi dsm hapa.
Nakumbuka mke wamgu baada ya kujifungua nilimnunulia gari pale mwenge Toyota harrier alikuwa ni kujimwaga tuu town.
Sasa baada ya miaka 2 na nusu hivi siku moja mke wangu alichelewa kurudi home alirudi kama saa 3 jioni hivi. Aaa mimi nikajiuliza hii sio kawaida yake sikumuuliza kitu chochote, maana hata alivyorudi alirudi kama anaangika na kama anahofu flani. Sikumuuliza chochote ila nikawa nawasiswasi kuwa kashaanza kuliwa na kidume kingine. Sikutana kuomba game usiku nikakausha.
Sasa mimi uhaga ninasafili sana, ila uwo mchezo uliendelea kama 3 weeks japo alikuwa anajigahidi kuwahi kurudi anarudi kama saa 12 jioni hasa. Wakati yeye mara nyingi ni saa 10 mpaka 11 anakuwa tayari kasharudi. Nilimuuliza akajibu tuu shughuli. Tukaendela na ndoa baada ya miezi kama 2 hivi nakumbuka mke wangu sikukutanane kama siku tano hivi. Nikakunanae siku moja kabla ya kusafili.
Kesho yake nilisafili kwenda nje kwenye shughuli zangu. Baada ya kukaa kule kama 2 weeks wife akaniambia kuwa anaujauzito wa 2 weeks mimi aaa kwa vile siku ile kabla ya kusafili nilikutatane na nilicum kwenye pu*sy magori 3 , nikoa poa tuu. Japo kwa kubadilika kule nikaona hii inaweza ikawa sio ila nilikausha tuu.
Mimba hiyo nilirudi nikanyamaza tuu, mimba ilikuwa mpaka mtoto kuzaliwa.
Baada ya kujifungua mimi nikasema fresh japo baada ya kumuona mtoto alikuwa ni white , mimi mmmh hata kwa wife yeye mwenyewe alishituka. Mimi nikaona labda mtoto alitoka tumboni, nikamwambia nenda kwenu ukapate uzazi akagoma, nikamwambia kama unataka kwenda kwetu kwa my mama basi nikupeleke akagoma pia. Mimi mmh nikamuacha. Baada kama 3 weeks still dogo ni mweupe balaa. Mimi bwana uvumilivu ulinishinda nikaamua kumwambia ukweli tuu kuhusu mtoto.
Nilimwambia kuwa mtoto ni mweupe mbona ninawasiwasi sana , siunajua wanawake akaanza inaamna uniamini au vipi, mbona mimi nakuamini.
Katika kujibizana maneno mwishoni akasema kama umtaki mtoto wangu sema tuu.
Mimi nikaamua kupiga simu kwao nikawaambia mke wangu amejifungua mnajua wakasema hawajui ila walikuwa wanajua tuu ni mjamzito. Mimi nikasema anamtoto wa kiume now. Dada yake na mama yake wakasema tutakuja nikasema sawa , si wakaja bwana kwanza wao walishangaa ndogo ni white. Niliona reaction yao walikuwa ni watu sura za uzuni flani na kunitazama mimi. Niliamua kuondoka home. Nilikaa kwenye mgahawa mmoja kule kariakoo mpaka saa 6 night kwa mawazo yale.
Niliamua kurudi home na kuaanza kumuuliza maswali kesho yake mke wangu nilimuuliza maswali mengi sana mwishowe alikataa , nikamwambia mimi nipo tayari kwenda kupima DNA. Yeye akasema kama utaki mwanangu basi. Nikaamua kumfukuza home nikamwambia nenda kwenu sikutaki hapa.
Nakumbuka nilimnyang'anya funguo za gari. Ilikuwa jpili alitaka kuondoka na mtoto wangu wa kike nilimkatalia akaamua kuondoka yeye mwenyewe na kwenda kwa rafiki yake. Hakwenda kwao.
Nilimpigia dada yake na kumueleza, Dada yake akaamua kimtafuta na kumchukua na kwenda kwao. Mimi nilifikisha ujumbe home walishituka sana.
Baada ya kama wiki 3 hivi wakasema basi tukutane pande mbili tujue shida ni nini,
Mimi niliwaambia shida mtoto ninawasiwasi sio wangu.
Wakasema basi twende tukathibitishe kwa DNA , ila mke wangu anagoma kabisa akasema kama haniamini basi.
Walijaribu kutumia mapaka viongozi wa dini lakini still aligoma kabisa kuhusiswa kwenye majaridiano , yeye anadai mimi simuamini kama simtaki mtoto basi.
Ila alipokaa na wazazi wake na kumuuliza vizuri alikiri kuwa alikuwa na mahusiano na mtu mmoja ambayo ni ofisi ya jirani na benk anayofanyia hapa dsm, jamaa ni kweli ni white so dogo ni wake.
Ila baadae wazazi wake walikuwa hawataki ndoa kuvunjika waliniomba niende kwa tuyamalize, walitumia viongozi mpaka wa dini kunishawishi.
Ila mimi niliona ni usaliti mkubwa sana tena wakuacha alama.
mke nae anasingizia Bahati mbaya sijui shetani alimpitia.
Nikaona ni uwongo tuu hakuna kitu hapa.
Niliamua kuvunja ndoa ile na nilifanikiwa , niliumia sana tena sana nilijiuliza maswali mengi inaamaana yote haya niliyomfanyia alikuwa haliziki au ni nini. Daaa nilimfanyia vitu vingi sana huyu dada.
Alijitahidi kuniomba msahama , pamoja na mama yake na dada yake kwa pamoja ila mimi wala.
Mama yake alienda mbali na kusema kama mtoto hutamkubali basi yeye atakaa na mtoto ila mwanae nisiwache, Baba yake akasema kufanya hivyl ni kutetea ujinga na uzizi wa mtu,
Baba yake akasema yeye akai na mtoto wa mtu mbaye wazazi wake wapo na wanamaisha yao.
Kuna kipindi mke wangu alijaribu kumtumia my brother ili kunisamehe ila ilishindikana.
Na alileta kisingizio cha ndoa yetu ni ya kanisani. Mimi nikamwambia kwa hilo ulilofanya sina hamu na wewe tena, nikamwambia kuwa nipo tayari kuzini na malaya ila sio wewe.
Mwishowe nilijikuta naingia kwenye mahusiano na mnyarwanda mmoja mdada nilikutanane zanzibar, katika safari zangu za kupunguza stress.
Mdada ni mrembo si unajua wanyarwanda, nilikaa nae kwenye mahusiano kama mwaka hivi, kwa uzuri ule alinifanya nimsahau mke wangu. Ila kusema ukweli jamani watusti wazuri balaa .
Akitabasamu tukiwa kitandani asalala, na pua zao, kwa kipindi kile nilikuwa na furaha sana. Ila niliachanane baadae.
Mwaka 2020 nilikutana na mdada mmoja hivi nilianzisha mahusiano nae , ila nilimueleza yote yaliyonitokea , mwaka jana mwezi January alibeba mimba yangu ila baada ya kujifungua alifariki na kuacha mtoto wa kike ambaye mimi ndo Baba.
Dogo yupo kwa mama yake. Naendaga kumsalia na kupeleka mahitaji.
Sasa tangu ex wife wangu kujua hio kuwa nina mtoto na mama yake katangulia ,
Sms , simu sana anaomba turudiane ili anisaidie kunilelea mtoto. Simu ni nyingi mpaka naona kero, kuna siku alienda mpaka kwa wazazi wangu anawaomba wajaribu kunishawishi yeye yupo tayari kulea mtoto kama wake.
Ila mimi kwa usaliti ule daaa. Sina hisia nae kabisa.
Ila najua kwa nini anataka kurudiana na mimi.
Mimi kwa sasa maisha yangu yapo fresh sana tena fresh. Yule mdada yule mdada mnyarwanda alinisaidia sana kimawazo hasa ya biashara na connection , niseme ukweli tuu alinisaidia sana maana yeye ni mtu wa kuagiza vitu China na Japan, alinisaidia sana , yeye anafanya kazi kwenye kampuni ya crystal venture ipo rwanda , ndo anafanya nao biashara nao sana na yeye ni mmoja wapo nafikili.
Mke wangu misamaha yote kesho anaendela kuomba, naamini kujutia ila simuitaji tena.
Home wananishauri turudiane coz wote tunawatoto nje ,
Ila mimi kwangu nimesema NO.
NB; AKINA DADA SISI WANAUME MNAVYOTUCHEAT UWA TUNAWAZA VITU VINGI SANA , JUST IMAGE UMEMTOLEA MAHARI MKE KAMA MIMI NILITOA 3.5 MILLION, NDOA UNAGHARAMIA, UNAMLETA NYUMBANI KWAKO, UNAMUHUDUMIA , MPAKA UNAMPA NA GARI MWISHOWE UNAAMBULIA USALITI , SISI WANAUME TUNAUMIA SANA NA KUWAZA MENGE, WHY KAFANYA HIVI????
Unatakiwa ukutane na pisi ya namna hii..Nipo sasa nimerudiana na mdada wa kinyarwanda, sijui kama anampango wa kuolewa huko kwao sijui ila nipo nae sasa japo tunakutana siku moja moja sana.
Ila napanga siku my ex wife anikute na mrembo wa kitutsi japo kanizidi urefu kidogo, si unajua watutsi walivyo warefu.
Nataka siku anikute nae nimringishe mwezi uliopita nilijaribu ila sikufanikiwa coz maeneo tuliokuwepo kulikuwa na watu wazima na wengine nafaamiana nao so nikaona noma.
ZipoNinawaza tu,ni ndoa ngapi zingevunjika kisa mwanaume kuzaa nje.
No.Mrudie mkeo.
Kuzini na kuzini mpaka kuzaa afu anakudanganya mtoto ni wako .Ina maana wewe hakuwahi kuzini?
Nisinge zaa nje mimi hata siku moja.Ingetokea wewe ndo ungezaa nje,ndoa ingevunjika ?
Kivipi ni bahati mbaya.Kishakuambia ni bahati mbaya
Fafanua vizuri mkuu si yalishaisha sasa mbona kama unatetemekaPole Sana mkuu, haya mambo wanaume tunapitia.
Wengine mpk watoto wakaandikwa kwenye magazeti wana baba watano.
Ukiuliza unapelekwa mahabusu.
Leo hii kiko wapi?
Mwanamke hana senti kumi ananiita mpaka Baba nimsaidie🤣🤣🤣.
Huyu Mwanamke alichoma vyeti vyangu vyote vya shule, chuo
Nyumba nikahama nikaacha kila kitu.
Polisi mara tatu nimelala huko kwa ajili yake.
Yaani mtu unatoka kino mpk nikahamia mtoni kwa aziz ally kumkimbia.
Mama yangu kwa uchungu miaka ile ni mjeshi alitaka tuende tukamfanyizie.
Tunajipanga Mwanamke huyu hapa.
Kanifata home shetani yule.
Maza kumuona kalainika Msamehe muelewane.
E bana nimesamehe kurudi kwangu kaleta tena Polisi.
Ruka ukuta nikatimua
Ndo kuenda kwa aziz ally kuanza life upya.
Badae kumbe alikua anachepuka na kinyozi bishoo mmoja hivi Sinza.
Nilimfata yule kinyozi ,
Kwanza nyoa nywele.
Badae we si flani?
Ndio. nifuate.
Anatetemeka,Bahati nzuri tulimalizana fresh nikamwambia huyu mkeo kuanzia sasa nakuachia.
Ndio yakaisha.
Masikini ya Mungu unakuta mkeo ulikuwa unamuheshimu mwenyewe, unapiga tu kifo cha Mende, kumbe mwenzio akienda huko nnje vijana wa hovyo wanapiga mpaka popo kanyea mbingu[emoji24][emoji24]Habari wana jf. Leo na leta kisa changu hiki kilichonitokea nina miaka 38 sasa. Ni Baba wa watoto 2 nilizaa na wanawake wawili. Wa kwanza mke wangu wa pili niseme kama mchumba tuu.
Miaka kama 12 hivi iliyopita nilikutana na mdada mmoja kanisani, nilimpenda kwa muonekano wake hasa mavazi yake ya heshima. Na maneno yake na sauti yake ilikuwa nyembamba kiasi.
Nilijitahidi na nikafanikiwa kuingia nae kwenye mahusiano tulikaa kwa miaka miwili hatimaye nikafanikiwa kuingia kwenye ndoa Takamine.
Tulikaa kwa muda kwenye ndoa mpaka kuweza kupata mtoto mmoja wa kike. Mimi na mke wangu ni black niseme na hata kwao mke wangu ni black na kwetu mimi pia ni hivyo. So dogo alikuwa ni black kama sisi.
Tuliendelea kwenye ndoa nakumbuka siku mmoja mke wangu aliniambia kuwa yeye hapendi mwanaume msaliti kwenye mapenzi na kama akisaliti basi asijue kabisa.
Mimi ni mfanyabiashara nina biashara zangu tuu. Mke wangu yeye ni mfanya kazi wa benk moja hivi dsm hapa.
Nakumbuka mke wamgu baada ya kujifungua nilimnunulia gari pale mwenge Toyota harrier alikuwa ni kujimwaga tuu town.
Sasa baada ya miaka 2 na nusu hivi siku moja mke wangu alichelewa kurudi home alirudi kama saa 3 jioni hivi. Aaa mimi nikajiuliza hii sio kawaida yake sikumuuliza kitu chochote, maana hata alivyorudi alirudi kama anaangika na kama anahofu flani. Sikumuuliza chochote ila nikawa nawasiswasi kuwa kashaanza kuliwa na kidume kingine. Sikutana kuomba game usiku nikakausha.
Sasa mimi uhaga ninasafili sana, ila uwo mchezo uliendelea kama 3 weeks japo alikuwa anajigahidi kuwahi kurudi anarudi kama saa 12 jioni hasa. Wakati yeye mara nyingi ni saa 10 mpaka 11 anakuwa tayari kasharudi. Nilimuuliza akajibu tuu shughuli. Tukaendela na ndoa baada ya miezi kama 2 hivi nakumbuka mke wangu sikukutanane kama siku tano hivi. Nikakunanae siku moja kabla ya kusafili.
Kesho yake nilisafili kwenda nje kwenye shughuli zangu. Baada ya kukaa kule kama 2 weeks wife akaniambia kuwa anaujauzito wa 2 weeks mimi aaa kwa vile siku ile kabla ya kusafili nilikutatane na nilicum kwenye pu*sy magori 3 , nikoa poa tuu. Japo kwa kubadilika kule nikaona hii inaweza ikawa sio ila nilikausha tuu.
Mimba hiyo nilirudi nikanyamaza tuu, mimba ilikuwa mpaka mtoto kuzaliwa.
Baada ya kujifungua mimi nikasema fresh japo baada ya kumuona mtoto alikuwa ni white , mimi mmmh hata kwa wife yeye mwenyewe alishituka. Mimi nikaona labda mtoto alitoka tumboni, nikamwambia nenda kwenu ukapate uzazi akagoma, nikamwambia kama unataka kwenda kwetu kwa my mama basi nikupeleke akagoma pia. Mimi mmh nikamuacha. Baada kama 3 weeks still dogo ni mweupe balaa. Mimi bwana uvumilivu ulinishinda nikaamua kumwambia ukweli tuu kuhusu mtoto.
Nilimwambia kuwa mtoto ni mweupe mbona ninawasiwasi sana , siunajua wanawake akaanza inaamna uniamini au vipi, mbona mimi nakuamini.
Katika kujibizana maneno mwishoni akasema kama umtaki mtoto wangu sema tuu.
Mimi nikaamua kupiga simu kwao nikawaambia mke wangu amejifungua mnajua wakasema hawajui ila walikuwa wanajua tuu ni mjamzito. Mimi nikasema anamtoto wa kiume now. Dada yake na mama yake wakasema tutakuja nikasema sawa , si wakaja bwana kwanza wao walishangaa ndogo ni white. Niliona reaction yao walikuwa ni watu sura za uzuni flani na kunitazama mimi. Niliamua kuondoka home. Nilikaa kwenye mgahawa mmoja kule kariakoo mpaka saa 6 night kwa mawazo yale.
Niliamua kurudi home na kuaanza kumuuliza maswali kesho yake mke wangu nilimuuliza maswali mengi sana mwishowe alikataa , nikamwambia mimi nipo tayari kwenda kupima DNA. Yeye akasema kama utaki mwanangu basi. Nikaamua kumfukuza home nikamwambia nenda kwenu sikutaki hapa.
Nakumbuka nilimnyang'anya funguo za gari. Ilikuwa jpili alitaka kuondoka na mtoto wangu wa kike nilimkatalia akaamua kuondoka yeye mwenyewe na kwenda kwa rafiki yake. Hakwenda kwao.
Nilimpigia dada yake na kumueleza, Dada yake akaamua kimtafuta na kumchukua na kwenda kwao. Mimi nilifikisha ujumbe home walishituka sana.
Baada ya kama wiki 3 hivi wakasema basi tukutane pande mbili tujue shida ni nini,
Mimi niliwaambia shida mtoto ninawasiwasi sio wangu.
Wakasema basi twende tukathibitishe kwa DNA , ila mke wangu anagoma kabisa akasema kama haniamini basi.
Walijaribu kutumia mapaka viongozi wa dini lakini still aligoma kabisa kuhusiswa kwenye majaridiano , yeye anadai mimi simuamini kama simtaki mtoto basi.
Ila alipokaa na wazazi wake na kumuuliza vizuri alikiri kuwa alikuwa na mahusiano na mtu mmoja ambayo ni ofisi ya jirani na benk anayofanyia hapa dsm, jamaa ni kweli ni white so dogo ni wake.
Ila baadae wazazi wake walikuwa hawataki ndoa kuvunjika waliniomba niende kwa tuyamalize, walitumia viongozi mpaka wa dini kunishawishi.
Ila mimi niliona ni usaliti mkubwa sana tena wakuacha alama.
mke nae anasingizia Bahati mbaya sijui shetani alimpitia.
Nikaona ni uwongo tuu hakuna kitu hapa.
Niliamua kuvunja ndoa ile na nilifanikiwa , niliumia sana tena sana nilijiuliza maswali mengi inaamaana yote haya niliyomfanyia alikuwa haliziki au ni nini. Daaa nilimfanyia vitu vingi sana huyu dada.
Alijitahidi kuniomba msahama , pamoja na mama yake na dada yake kwa pamoja ila mimi wala.
Mama yake alienda mbali na kusema kama mtoto hutamkubali basi yeye atakaa na mtoto ila mwanae nisiwache, Baba yake akasema kufanya hivyl ni kutetea ujinga na uzizi wa mtu,
Baba yake akasema yeye akai na mtoto wa mtu mbaye wazazi wake wapo na wanamaisha yao.
Kuna kipindi mke wangu alijaribu kumtumia my brother ili kunisamehe ila ilishindikana.
Na alileta kisingizio cha ndoa yetu ni ya kanisani. Mimi nikamwambia kwa hilo ulilofanya sina hamu na wewe tena, nikamwambia kuwa nipo tayari kuzini na malaya ila sio wewe.
Mwishowe nilijikuta naingia kwenye mahusiano na mnyarwanda mmoja mdada nilikutanane zanzibar, katika safari zangu za kupunguza stress.
Mdada ni mrembo si unajua wanyarwanda, nilikaa nae kwenye mahusiano kama mwaka hivi, kwa uzuri ule alinifanya nimsahau mke wangu. Ila kusema ukweli jamani watusti wazuri balaa .
Akitabasamu tukiwa kitandani asalala, na pua zao, kwa kipindi kile nilikuwa na furaha sana. Ila niliachanane baadae.
Mwaka 2020 nilikutana na mdada mmoja hivi nilianzisha mahusiano nae , ila nilimueleza yote yaliyonitokea , mwaka jana mwezi January alibeba mimba yangu ila baada ya kujifungua alifariki na kuacha mtoto wa kike ambaye mimi ndo Baba.
Dogo yupo kwa mama yake. Naendaga kumsalia na kupeleka mahitaji.
Sasa tangu ex wife wangu kujua hio kuwa nina mtoto na mama yake katangulia ,
Sms , simu sana anaomba turudiane ili anisaidie kunilelea mtoto. Simu ni nyingi mpaka naona kero, kuna siku alienda mpaka kwa wazazi wangu anawaomba wajaribu kunishawishi yeye yupo tayari kulea mtoto kama wake.
Ila mimi kwa usaliti ule daaa. Sina hisia nae kabisa.
Ila najua kwa nini anataka kurudiana na mimi.
Mimi kwa sasa maisha yangu yapo fresh sana tena fresh. Yule mdada yule mdada mnyarwanda alinisaidia sana kimawazo hasa ya biashara na connection , niseme ukweli tuu alinisaidia sana maana yeye ni mtu wa kuagiza vitu China na Japan, alinisaidia sana , yeye anafanya kazi kwenye kampuni ya crystal venture ipo rwanda , ndo anafanya nao biashara nao sana na yeye ni mmoja wapo nafikili.
Mke wangu misamaha yote kesho anaendela kuomba, naamini kujutia ila simuitaji tena.
Home wananishauri turudiane coz wote tunawatoto nje ,
Ila mimi kwangu nimesema NO.
NB; AKINA DADA SISI WANAUME MNAVYOTUCHEAT UWA TUNAWAZA VITU VINGI SANA , JUST IMAGE UMEMTOLEA MAHARI MKE KAMA MIMI NILITOA 3.5 MILLION, NDOA UNAGHARAMIA, UNAMLETA NYUMBANI KWAKO, UNAMUHUDUMIA , MPAKA UNAMPA NA GARI MWISHOWE UNAAMBULIA USALITI , SISI WANAUME TUNAUMIA SANA NA KUWAZA MENGE, WHY KAFANYA HIVI????
Sawa tuseme ni bahati mbaya sasa kitendo cha kutunza mimba hadi ikakua huku akidhamiria kukusakizia wewe bado ni bahati mbaya?Kivipi ni bahati mbaya.
Nielezee hio bahati mbaya inakuwaje?