Tulioacha wake zetu kwa sababu ya usaliti waliotufanyia tukutane hapa

Tulioacha wake zetu kwa sababu ya usaliti waliotufanyia tukutane hapa

Mada za hivi zimekuwa nyingi, nyie wenyewe mnajisifia michepuko acha mpigwe, kulia kupokezana
Mimi nipo fresh na maisha ila nimeleta story yangu, na naamini alikohuko ni mtu wa kujuta sana tena sana kwa SMS anazonitumia zinanisikitisha shana ila wala simuitaji.

Kwa sasa nimerudisha mahusiano na mrembo ya kinyarwanda japo sikutani nae mara kwa mara, kwa mwezi kama mara moja hivi.

Mrembo balaaa
 
Once a cheater, always a cheater

Ukishajua kakucheat piga chini hapohapo usimsikilize hata aombe msamaha, alie machozi, apige magoti au ajigalagaze hapo chini.

NAKAZIA: Usimpe nafasi ya kumsikiliza
Ndo hivyo,
Kuna siku alinikuta pale mlimani nilikuwa nipo mimi na mtoto niliyezaa nae, lkn tulikuwa pamoja na yule dada alieniachia mtoto.

Tulimshika dogo akiwa katikati. Nilimchunia kama simjui vile ila nashukuru binti yangu hakumuona.
 
Mimi nipo fresh na maisha ila nimeleta story yangu,
Na Naamini alikohuko ni mtu wa kujuta sana tena sana kwa sms anazonitumia zinanisikitisha shana ila wala simuitaji.
Kwa sasa nimerudisha mahusiano na mrembo ya kinyarwanda japo sikutaninae mara kwa mara, kwa mwezi kama mara moja hivi.
Mrembo balaaa
Wanaume tunateseka na tunahangaika kwa ajili ya hawa viumbe tuwatunze halafu anakucheat 🤔 hizo ni dharau sana

Kaza mkuu na uumchane aache mazoea ya kukutext au kukupigia

Malaya mkubwa huyo
 
Back
Top Bottom