Mr Spider
JF-Expert Member
- Feb 28, 2020
- 1,773
- 3,201
Pole sana mkuu! Kama ni ngumu kumeza usirudiane naye usije ukamtoboa macho aisee.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utani,Kwamba tusitafute hela. Tushindie nyumbani ili msiwe wapweke? Nadhani unatania!
Mimi nipo fresh na maisha ila nimeleta story yangu, na naamini alikohuko ni mtu wa kujuta sana tena sana kwa SMS anazonitumia zinanisikitisha shana ila wala simuitaji.Mada za hivi zimekuwa nyingi, nyie wenyewe mnajisifia michepuko acha mpigwe, kulia kupokezana
SawaMimi nipo fresh na maisha ila nimeleta story yangu,
Na Naamini alikohuko ni mtu wa kujuta sana tena sana kwa sms anazonitumia zinanisikitisha shana ila wala simuitaji.
Kwa sasa nimerudisha mahusiano na mrembo ya kinyarwanda japo sikutaninae mara kwa mara, kwa mwezi kama mara moja hivi.
Mrembo balaaa
Ndo hivyo,Once a cheater, always a cheater
Ukishajua kakucheat piga chini hapohapo usimsikilize hata aombe msamaha, alie machozi, apige magoti au ajigalagaze hapo chini.
NAKAZIA: Usimpe nafasi ya kumsikiliza
Ok sawa!Utani,
siumizi kichwa kwa vitu vinavyoongelewa humi daily
Kurudiana nae NO haiwezekanaiPole sana mkuu! Kama ni ngumu kumeza usirudiane naye usije ukamtoboa macho aisee.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Wanaume tunateseka na tunahangaika kwa ajili ya hawa viumbe tuwatunze halafu anakucheat 🤔 hizo ni dharau sanaMimi nipo fresh na maisha ila nimeleta story yangu,
Na Naamini alikohuko ni mtu wa kujuta sana tena sana kwa sms anazonitumia zinanisikitisha shana ila wala simuitaji.
Kwa sasa nimerudisha mahusiano na mrembo ya kinyarwanda japo sikutaninae mara kwa mara, kwa mwezi kama mara moja hivi.
Mrembo balaaa
Mlie buyu hivyohivyo asilete mazoea na wewe.Ndo hivyo,
Kuna siku alinikuta pale mlimani nilikuwa nipo mimi na mtoto niliyezaa nae, lkn tulikuwa pamoja na yule dada alieniachia mtoto.
Tulimshika dogo akiwakatikati.
Nilimchunia kama simjui vile ila nashukuru binti yangu akumuona.
Mzee wa tunza kibunda🤣🤣Once a cheater, always a cheater
Ukishajua kakucheat piga chini hapohapo usimsikilize hata aombe msamaha, alie machozi, apige magoti au ajigalagaze hapo chini.
NAKAZIA: Usimpe nafasi ya kumsikiliza