Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanazingu sana 😅Mzee wa tunza kibunda🤣🤣
Pole sanaa mwamba.... Hapa kale ka kauli ka kataa Ndoa naona kanafanya kaziHabari wana jf. Leo na leta kisa changu hiki kilichonitokea nina miaka 38 sasa. Ni Baba wa watoto 2 nilizaa na wanawake wawili. Wa kwanza mke wangu wa pili niseme kama mchumba tuu.
LETA NYUMBANI KWAKO, UNAMUHUDUMIA , MPAKA UNAMPA NA GARI MWISHOWE UNAAMBULIA USALITI , SISI WANAUME TUNAUMIA SANA NA KUWAZA MENGE, WHY KAFANYA HIVI????
Sema hao wanyarwanda kama tabia zao kama wabaya tu [emoji16][emoji16]Mimi nipo fresh na maisha ila nimeleta story yangu,
Na Naamini alikohuko ni mtu wa kujuta sana tena sana kwa sms anazonitumia zinanisikitisha shana ila wala simuitaji.
Kwa sasa nimerudisha mahusiano na mrembo ya kinyarwanda japo sikutaninae mara kwa mara, kwa mwezi kama mara moja hivi.
Mrembo balaaa
Wanatushinikiza sana tuwaoe tukiwa nao kwenye mahusiano wakishapata cheti cha ndoa wanaanza kuibomoaWanawake wengi kabla ya kuolewa wanakuwa na shauku ya kuitaka ndoa na kuomba kwa machozi, wakiingia kwenye ndoa wanajisahau wanachukulia poa, wakiachwa wanaanza kulia tena warudi kwenye ndoa.
Mkuu alikuonea sana. Mimi nikisalitiwa nitaona ni sawa tu maama niko bize na misafara ya Tundu Lissu tunachanja mikoa hadi mikoa mke wangu napiga Gori moja tu nasepa kwenye Harakati za kukomboa Nchi.Habari wana jf. Leo na leta kisa changu hiki kilichonitokea nina miaka 38 sasa. Ni Baba wa watoto 2 nilizaa na wanawake wawili. Wa kwanza mke wangu wa pili niseme kama mchumba tuu.
Miaka kama 12 hivi iliyopita nilikutana na mdada mmoja kanisani, nilimpenda kwa muonekano wake hasa mavazi yake ya heshima. Na maneno yake na sauti yake ilikuwa nyembamba kiasi.
Nilijitahidi na nikafanikiwa kuingia nae kwenye mahusiano tulikaa kwa miaka miwili hatimaye nikafanikiwa kuingia kwenye ndoa Takamine.
Tulikaa kwa muda kwenye ndoa mpaka kuweza kupata mtoto mmoja wa kike. Mimi na mke wangu ni black niseme na hata kwao mke wangu ni black na kwetu mimi pia ni hivyo. So dogo alikuwa ni black kama sisi.
Tuliendelea kwenye ndoa nakumbuka siku mmoja mke wangu aliniambia kuwa yeye hapendi mwanaume msaliti kwenye mapenzi na kama akisaliti basi asijue kabisa.
Mimi ni mfanyabiashara nina biashara zangu tuu. Mke wangu yeye ni mfanya kazi wa benk moja hivi dsm hapa.
Nakumbuka mke wamgu baada ya kujifungua nilimnunulia gari pale mwenge Toyota harrier alikuwa ni kujimwaga tuu town.
Sasa baada ya miaka 2 na nusu hivi siku moja mke wangu alichelewa kurudi home alirudi kama saa 3 jioni hivi. Aaa mimi nikajiuliza hii sio kawaida yake sikumuuliza kitu chochote, maana hata alivyorudi alirudi kama anaangika na kama anahofu flani. Sikumuuliza chochote ila nikawa nawasiswasi kuwa kashaanza kuliwa na kidume kingine. Sikutana kuomba game usiku nikakausha.
Sasa mimi uhaga ninasafili sana, ila uwo mchezo uliendelea kama 3 weeks japo alikuwa anajigahidi kuwahi kurudi anarudi kama saa 12 jioni hasa. Wakati yeye mara nyingi ni saa 10 mpaka 11 anakuwa tayari kasharudi. Nilimuuliza akajibu tuu shughuli. Tukaendela na ndoa baada ya miezi kama 2 hivi nakumbuka mke wangu sikukutanane kama siku tano hivi. Nikakunanae siku moja kabla ya kusafili.
Kesho yake nilisafili kwenda nje kwenye shughuli zangu. Baada ya kukaa kule kama 2 weeks wife akaniambia kuwa anaujauzito wa 2 weeks mimi aaa kwa vile siku ile kabla ya kusafili nilikutatane na nilicum kwenye pu*sy magori 3 , nikoa poa tuu. Japo kwa kubadilika kule nikaona hii inaweza ikawa sio ila nilikausha tuu.
Mimba hiyo nilirudi nikanyamaza tuu, mimba ilikuwa mpaka mtoto kuzaliwa.
Baada ya kujifungua mimi nikasema fresh japo baada ya kumuona mtoto alikuwa ni white , mimi mmmh hata kwa wife yeye mwenyewe alishituka. Mimi nikaona labda mtoto alitoka tumboni, nikamwambia nenda kwenu ukapate uzazi akagoma, nikamwambia kama unataka kwenda kwetu kwa my mama basi nikupeleke akagoma pia. Mimi mmh nikamuacha. Baada kama 3 weeks still dogo ni mweupe balaa. Mimi bwana uvumilivu ulinishinda nikaamua kumwambia ukweli tuu kuhusu mtoto.
Nilimwambia kuwa mtoto ni mweupe mbona ninawasiwasi sana , siunajua wanawake akaanza inaamna uniamini au vipi, mbona mimi nakuamini.
Katika kujibizana maneno mwishoni akasema kama umtaki mtoto wangu sema tuu.
Mimi nikaamua kupiga simu kwao nikawaambia mke wangu amejifungua mnajua wakasema hawajui ila walikuwa wanajua tuu ni mjamzito. Mimi nikasema anamtoto wa kiume now. Dada yake na mama yake wakasema tutakuja nikasema sawa , si wakaja bwana kwanza wao walishangaa ndogo ni white. Niliona reaction yao walikuwa ni watu sura za uzuni flani na kunitazama mimi. Niliamua kuondoka home. Nilikaa kwenye mgahawa mmoja kule kariakoo mpaka saa 6 night kwa mawazo yale.
Niliamua kurudi home na kuaanza kumuuliza maswali kesho yake mke wangu nilimuuliza maswali mengi sana mwishowe alikataa , nikamwambia mimi nipo tayari kwenda kupima DNA. Yeye akasema kama utaki mwanangu basi. Nikaamua kumfukuza home nikamwambia nenda kwenu sikutaki hapa.
Nakumbuka nilimnyang'anya funguo za gari. Ilikuwa jpili alitaka kuondoka na mtoto wangu wa kike nilimkatalia akaamua kuondoka yeye mwenyewe na kwenda kwa rafiki yake. Hakwenda kwao.
Nilimpigia dada yake na kumueleza, Dada yake akaamua kimtafuta na kumchukua na kwenda kwao. Mimi nilifikisha ujumbe home walishituka sana.
Baada ya kama wiki 3 hivi wakasema basi tukutane pande mbili tujue shida ni nini,
Mimi niliwaambia shida mtoto ninawasiwasi sio wangu.
Wakasema basi twende tukathibitishe kwa DNA , ila mke wangu anagoma kabisa akasema kama haniamini basi.
Walijaribu kutumia mapaka viongozi wa dini lakini still aligoma kabisa kuhusiswa kwenye majaridiano , yeye anadai mimi simuamini kama simtaki mtoto basi.
Ila alipokaa na wazazi wake na kumuuliza vizuri alikiri kuwa alikuwa na mahusiano na mtu mmoja ambayo ni ofisi ya jirani na benk anayofanyia hapa dsm, jamaa ni kweli ni white so dogo ni wake.
Ila baadae wazazi wake walikuwa hawataki ndoa kuvunjika waliniomba niende kwa tuyamalize, walitumia viongozi mpaka wa dini kunishawishi.
Ila mimi niliona ni usaliti mkubwa sana tena wakuacha alama.
mke nae anasingizia Bahati mbaya sijui shetani alimpitia.
Nikaona ni uwongo tuu hakuna kitu hapa.
Niliamua kuvunja ndoa ile na nilifanikiwa , niliumia sana tena sana nilijiuliza maswali mengi inaamaana yote haya niliyomfanyia alikuwa haliziki au ni nini. Daaa nilimfanyia vitu vingi sana huyu dada.
Alijitahidi kuniomba msahama , pamoja na mama yake na dada yake kwa pamoja ila mimi wala.
Mama yake alienda mbali na kusema kama mtoto hutamkubali basi yeye atakaa na mtoto ila mwanae nisiwache, Baba yake akasema kufanya hivyl ni kutetea ujinga na uzizi wa mtu,
Baba yake akasema yeye akai na mtoto wa mtu mbaye wazazi wake wapo na wanamaisha yao.
Kuna kipindi mke wangu alijaribu kumtumia my brother ili kunisamehe ila ilishindikana.
Na alileta kisingizio cha ndoa yetu ni ya kanisani. Mimi nikamwambia kwa hilo ulilofanya sina hamu na wewe tena, nikamwambia kuwa nipo tayari kuzini na malaya ila sio wewe.
Mwishowe nilijikuta naingia kwenye mahusiano na mnyarwanda mmoja mdada nilikutanane zanzibar, katika safari zangu za kupunguza stress.
Mdada ni mrembo si unajua wanyarwanda, nilikaa nae kwenye mahusiano kama mwaka hivi, kwa uzuri ule alinifanya nimsahau mke wangu. Ila kusema ukweli jamani watusti wazuri balaa .
Akitabasamu tukiwa kitandani asalala, na pua zao, kwa kipindi kile nilikuwa na furaha sana. Ila niliachanane baadae.
Mwaka 2020 nilikutana na mdada mmoja hivi nilianzisha mahusiano nae , ila nilimueleza yote yaliyonitokea , mwaka jana mwezi January alibeba mimba yangu ila baada ya kujifungua alifariki na kuacha mtoto wa kike ambaye mimi ndo Baba.
Dogo yupo kwa mama yake. Naendaga kumsalia na kupeleka mahitaji.
Sasa tangu ex wife wangu kujua hio kuwa nina mtoto na mama yake katangulia ,
Sms , simu sana anaomba turudiane ili anisaidie kunilelea mtoto. Simu ni nyingi mpaka naona kero, kuna siku alienda mpaka kwa wazazi wangu anawaomba wajaribu kunishawishi yeye yupo tayari kulea mtoto kama wake.
Ila mimi kwa usaliti ule daaa. Sina hisia nae kabisa.
Ila najua kwa nini anataka kurudiana na mimi.
Mimi kwa sasa maisha yangu yapo fresh sana tena fresh. Yule mdada yule mdada mnyarwanda alinisaidia sana kimawazo hasa ya biashara na connection , niseme ukweli tuu alinisaidia sana maana yeye ni mtu wa kuagiza vitu China na Japan, alinisaidia sana , yeye anafanya kazi kwenye kampuni ya crystal venture ipo rwanda , ndo anafanya nao biashara nao sana na yeye ni mmoja wapo nafikili.
Mke wangu misamaha yote kesho anaendela kuomba, naamini kujutia ila simuitaji tena.
Home wananishauri turudiane coz wote tunawatoto nje ,
Ila mimi kwangu nimesema NO.
NB; AKINA DADA SISI WANAUME MNAVYOTUCHEAT UWA TUNAWAZA VITU VINGI SANA , JUST IMAGE UMEMTOLEA MAHARI MKE KAMA MIMI NILITOA 3.5 MILLION, NDOA UNAGHARAMIA, UNAMLETA NYUMBANI KWAKO, UNAMUHUDUMIA , MPAKA UNAMPA NA GARI MWISHOWE UNAAMBULIA USALITI , SISI WANAUME TUNAUMIA SANA NA KUWAZA MENGE, WHY KAFANYA HIVI????
Stori ya Jamaa imenigusa sana.Pole sana .
Ndo shida ya kucheat kwa mke , akipata ujauzito nje ni ngumu kujua wewe ulijua baada ya ndogo kuwa mweupe kiasi hicho.
Ila angecheat na mtu mweusi usingejua bro.
Wapo wanaume wengi hawajui na wanalea hivyo bila kujua.
Mme akizaa nje itajulikana mtoto si wa ndoa , ila mke akizaa nje ni ngumu sana kujua kaka , japo wewe ulijua.
Wanawake , unamtongoza wewe, unapeleka posa wewe na pesa ndani, unatoa mahari wewe, unaandaa harusi wewe, unamleta nyumbani kwako, unamuudumia wewe, unamnunulia gari wewe, unamlisha unamvesha wewe lkn still unaambulia usaliti.
Ni kweli ulivyosema uwa tunaumia sana.
Ebu Kapeace njoo ujibu hoja huku.
Vipi na wewe ulizas njeUzi wa kufarijiana ..
Bro unauma sanaStori ya Jamaa imenigusa sana.
Mimi mwenyewe nahisi mtoto mmoja sio wangu.
Maama ni mweupe japo kwao wana ka rangi kidogo ila wa kwangu anawazidi wao. Sasa Hybridi ya mtu mweusi na Maji ya kunde inawezekana vipi kuzaa mweupe??
Nimesubiri mieze isogee ili nione rangi kama itakuja kukaribiana na yangu lakini naona dogo anazidi kuwa mweupe.
Kwakweli katika harakati za maisha sisi wanaume tunakutana na mengi.
Mbowe alifungwa mimi nimeambulia kupigiwa mke.