Robert Heriel Mtibeli mzabzab
Njooni huku, hawa wadada wanasema kuwa wanataka mume ambaye atampa uhuru, sasa uhuru wakipewa na kigari juu wanabadilika ,
Ukisema wakae home mda water hawataki wanasema mume wangu anipi uhuru, ukisema basi tuwe wote mda wote pia wanasema mume wangu hanipi uhuru.
Sasa dada yetu
Kapeace anasema tusiwaache wake zetu kama Adam alimuacha mkewe mpaka akadangaywa na Joka.
(Ni kweli alichosema maana MUNGU alisema mke na mume wawe wote all time)
Sasa iweje sometimes wanataka uhuru wa kwao?