Tulioacha wake zetu kwa sababu ya usaliti waliotufanyia tukutane hapa

Ninawaza tu,ni ndoa ngapi zingevunjika kisa mwanaume kuzaa nje.Mrudie mkeo.Ina maana wewe hakuwahi kuzini?Ingetokea wewe ndo ungezaa nje,ndoa ingevunjika ?Kishakuambia ni bahati mbaya,amekuomba msamaha. Msamehe mrudiane.
Wewee tundu la mwanamke ni kwa ajili ya mboo moja tu akichanganya huyo sio mwanamke asili ya sisi wanaume unaweza kutembea na mwanamke kwa tamaa tu lakini mwanamke akitembea na mwanaume kampenda huo ndio utofaut wetu
 
Dah kwa hiyo sie tusiojua kutomber tusijaribu kabisa kuoa tutalizwa tuu😭😭😭😭😭😭
 
Kuna wanawake washenzi ila na mwanaume anakuwa poyoyo zaidi ni kama tahira tu asiyetema udenda, mi navojua mwanaume inabidi ukae chonjo shtua mara moja kawapime watoto, na ukisoma wengi humu walipata dalili lkn wakapuuzia
Mi watoto lazima wafanane na mimi, wasipofanana hata ukucha tu hiyo imekula kwako
 
Wewee tundu la mwanamke ni kwa ajili ya mboo moja tu akichanganya huyo sio mwanamke asili ya sisi wanaume unaweza kutembea na mwanamke kwa tamaa tu lakini mwanamke akitembea na mwanaume kampenda huo ndio utofaut wetu
Wanaume tuna nadhari za kujifariji sana. Eti mwanamke mpaka atombwe anakuwa amependa....ah wapi hawa hawajui kitu kinaitwa kupenda bro. Plus nao wanakuwaga na nyege ati
 
Ah wapi kuna mwanamke ukimuona tuu unasema yes this is pisi kali.
Unatushauri nini sisi watu wa kukinai.

Kwa mimi sijui nikioa itakuaje, hata hizi pisi kali baada ya muda tu nazionaga za kawaida tu aisee.
Kama jamaa hapo kaish nayo zaidi ya mwaka bado ule upisi kali anauona mi siwezagi hiyo kitu.
 
Kwenye maisha jiangalie wewe kwanza kuliko binadamu yeyote yule
 
Mi watoto lazima wafanane na mimi, wasipofanana hata ukucha tu hiyo imekula kwako
😂😂😂Kuna viashiria tunavionaga hasa bibi na mashangazi, ubaya ni kwamba mwanamke namfahamu mama yake kaka zake flow ya familia yake naijua, muonekano wao na kwetu unafanania kiaina, lakini kazaa mtoto ana sura pana pua pana black na anafanania na jamaa ambae niliwahi kumkuta nae ktk mazingira tatanishi na tahadhari nikaitoa,,, aah aisee
 
Ukabwagwa mzeya
 
Unapenda story hizi🤣🤣ilhal nawe mzee wa mbususu aka alkasusu🤣🤣
Mwanamke au mwanaume anayesema hapendi story za mapenzi na ngono huyo ni muwongo na muogooe kama ukoma maana anaikataa nafsi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…