Tulioacha wake zetu kwa sababu ya usaliti waliotufanyia tukutane hapa

mume wake anapenda house party balaa na rafiki yake yule mdogo wake waziri february inasemekana nae alikimbiwa na mkewe baada ya kumuambikiza mkewe hiv
Mkuu sorry kidogo kwa usumbufu sijakuelewa kabisa hapa.
 
Wanaume tuna nadhari za kujifariji sana. Eti mwanamke mpaka atombwe anakuwa amependa....ah wapi hawa hawajui kitu kinaitwa kupenda bro. Plus nao wanakuwaga na nyege ati
Kwani we ni mwanamke, hizo nyege ulizijua je?
 
Afu mtungaji hanna chochote misifa ya kijinga tu ,usikute ni hawa watoto wa kizazi kipya!!mwanmke Ana kazi yake talaka ishatoka afu aendelee kua kama mdangaji wa mtaani asiye na uhakika wa kula
Ndo hawa watoto wa 2000,kakosa kazi basi kaamua kutunga thread.
 
Cheating inauma,bila kujali nani kafanyiwa ke au me.
 
naomba kukulaumu WEWE PIA NI TATIZO mkuu, unatambua mke anarudi mda usio wa kawaida ati wewe uko kimya, unagundua kasaliti unakaa kimya, unagundua mabadiliko yake bado uko kimya, UKIMYA WAKO ULITEGEMEA HITIMISHO GANI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…