Tulioacha wake zetu kwa sababu ya usaliti waliotufanyia tukutane hapa

Oya hayo maumivu sio poa mkuu, Kuna jamaa alisema Ni Bora ufiwe na mwenza wako ila sio ugundue mwenza wako anakusaliti....(namuunga mkono)
Pia kuna wimbo wa Banana Zorro ( Zoba) kuna sehemu anasema " sikitiko la mahaba, lazidi msiba"
 
Mkuu sorry kidogo kwa usumbufu sijakuelewa kabisa hapa.
Nimetumia code mkuu maana haya mambo ya watoto wa vigogo naweza jikuta central namaanisha huyo msanii ana rafiki yake mtoto wa kigogo sasa ay na huyo rafiki yake wote wamekimbiwa na wake zao kisa kuendekeza house party zile kama sex party na huyo mtoto wa kigogo alimuambukiza mkewe hivi.
 
Ndoa ya kanisani si unajua hazivunjiki kaka.
Uongo! Ndoa ya kanisani inavunjwa kama kuna mmoja wenu ametembea nje ya ndoa. Kwa kesi yako, kama mtoto wake wa kizungu siyo kama Bikra Maria alivyopata mimba ya YEZU, ndoa inavunjwa bwashee. Hata Mzee Msekwa ilivunjwa kwa vile mke wake alikutwa analiwa na jamaa mwingine, akafunga ndoa na Anna Abdallah nyingine. Sir George pia, ni wengi sana.
 
Hahahahaha--- Tunawasamehe sana sema wabaki huko huko waliko. Yaani tunawasamehe wakiwa tayari kwao.
 
Basi hayo ndo matokeo ya kumuacha mke mpweke hamjifunzi kwa Adam tu
Usimuache ili mle mawe au ?! Kila siku mnasema tutafute hela mara tena msiachwe wapweke, stupid creatures. na matokeo yake pia ni kuachwa muwe majamvi ya wageni hamjajifunza tu !?
 
Mtaalam wa kuzisafiria mbo** tueleze mtu anaweza kuzisafiria kwa umbali gani, Na mtu hawezi kuzisafiria mba umbali gani?
Ngonja nikuambie kitu,kwanza hawa watusi huwa wanatoka na watusi wenzao.Mtusi apande ndege kutoka Rwanda kuja bongo kufuata mboo?Ninakataa,au labda huyu Johnson12345 anamfanyia kunyanza si ya dunia hii.
 
Mwanamke akitoka nje ya Ndoa

Ukathibitisha hupaswi msamehe kabisa

Mwanamke ukimdaka na mwanaume hupaswi kabisa kuendelea nae au kuongea naye, we muache hata kama mna watoto muache atajijua mwenyewe.
Hii ndio ya kuishi nayo [emoji625]
 
Bro hapo kwa mtutsi utapigwa tukio ambalo utakaa chini mtu mzima. Sijakwambia umuache ila kuwa makini piga show kweli kweli usitanie.
Nakubaliana na ww watutsi wamoto kitandan afu lainiiiiiiiiiiii sijui ni tabia zao kujipaka mafuta ya ng'ombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…