Tulioacha wake zetu kwa sababu ya usaliti waliotufanyia tukutane hapa

Ndo ulikompata mnyarwanda wako.Ndo maana hautaki mrudia mkeo.Umeshakuwa addicted na tinder.
 
Siwezi kushindana na mwanaume,,mmewangu huwa ananiuliza hivi ukicheat utaniambia ni nini umekosa maana kila kitu nakupa.Mimi mjanja bwana ukipendwa kaa kwa kutulia ule mema ya nchi.
Hapo kwa kila kitu anakuoa ni uwongo. Aseme majukumu yangu kwa aslimia kubwa nayatimiza
 
Umenikumbusha
"The banker" (Nigerian drama film)
Ogopa Sana wadada wa Benki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…