Tulioacha wake zetu kwa sababu ya usaliti waliotufanyia tukutane hapa

Uko sahihi kabisa. Kwa habari ya zinaa ruksa ndoa kuvunjika:

"Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe"
1 Wakorintho 7 :2
 
Mwenye maisha mazuri angekuwa anafanya mambo yake na kuwa bize sio kuja kulialia humu jf mkuu.
 
🤣🤣🤣🤣Kuna mmoja huyo nilishashughulika nae kakaa kwa kutulia,
Usisahau kuwashughulikia pia wanaoleta story za kufikirika! Wanasema ni true story wakati ni ndoto za alinacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…