Tulioacha wake zetu kwa sababu ya usaliti waliotufanyia tukutane hapa

Umenikumbusha
"The banker" (Nigerian drama film)
Ogopa Sana wadada wa Benki.
Mkuu umenikumbusha hii huyu jamaa mkewe alizaa watoto 2 na MD wa benk, na MD wa benk alikuwa anasafiri sana na dada huyo nje ya nchi, mkewe aliacha kazi kwenye hio benk na kukimbilia USA mume wake akaja kumwambia kuwa watoto wangu sio wako , ni wa MD yule jamaa alipa depression ila walifanikiwa kuimanage akawa sawa. Ila MD alishushwa cheo ya ile scandal. Jamaa Alafuta binti mwingine akaingia kwenye mahusiano nae ila akaja kufa baada ya miaka miwili , walisema kifo kilisabaishwa na depression aliyopata miaka miwili nyuma.
Ila alimwacha mchumba mpya na ujauzito. Wadada wa benk sio poa.
 
Very very Correct Mkuu.
Ukiachana na hilo binafsi mimi Domhome kwa bahati nzuri ajira yangu ya kwanza kabisa ilikuwa ni Bank, so nawafahamu vyema Sana wadada wa Benki.
 
Umefanya vizur kumuacha na usilogwe umrudie. Iko hiv kiroho mtoto wa nje aliyezaliwa na wife ataleta vita kubwa sana kwa wale wako coz ni damu nyingine imekuja inashindana na iliyowakuta so unakuta mtoto kama huyo anakuwa kisiran kwenye familia kwa wenzie.
Ila kiukweli ningekuwa ni mimi pamoja na kumuacha wife yule jamaa aliyemzalisha ningemfanyia kitu asingeamini ningemuacha hata miaka 5 ajisahau nikishindwa kabisa nampa na Mimi mimba mkewe. Huwez kuniaharibia ndoa yangu ukawa salama aisee.
 
Sijui nafikili alikuwa ni mume wa mtu sijui,
Hata kama unaweza kuoa mke watu. Unawezaje kwenda kwao kujitambulisha angali wewe ndo ulivunja ndoa yake. Uwoni kama ni ngumu mkuu
Hakuna ugumu wowote labda kama hana kipato au jamaa alimtamani tu hana nia nae.

Otherwise, wanatumwa wazee wanatangulia kuweka mambo sawa hutaamini wakwe watakavyocheza kwenye harusi ya mkeo.
 
Umewahi fanya tukio kama hilo
 
Ila kwakawaida mwenye shida ni mkeo
 
Na wewe unasahau vipi kitu muhimu kama hichio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…