Tulioacha wake zetu kwa sababu ya usaliti waliotufanyia tukutane hapa

Jamani jamani kuna wanawake huruka yao ni kit*0mbo,yani hawa hata umpe jamhuri ya muungano yote atachepuka tu.

Kuna wanawake kuchepuka ndo starehe yao,ogopa sana kukutana na mwanamke wa dizaini hii.
Na wengi utakuta ana maisha ya kipato kizuri tu
 
Pole sana
 
Kama una hela halafu kakuchiti, basi ulikuwa humpelekei moto vizuri.
 
Ninawaza tu,ni ndoa ngapi zingevunjika kisa mwanaume kuzaa nje.Mrudie mkeo.Ina maana wewe hakuwahi kuzini?Ingetokea wewe ndo ungezaa nje,ndoa ingevunjika ?Kishakuambia ni bahati mbaya,amekuomba msamaha. Msamehe mrudiane.
Kimaumbile mwanaume kapewa credit sana hata kuoa wake zaidi ya mmoja na inakubalika kidini na baadhi ya makabila, Mwanamke kumchanganya mumewe na michepuka ni Dharau sana Kwa mwanaume.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ dah na me mwaka jana na huu nmekaa mbal sana na family kikazi dah nachoshkuru tunafana na watoto copy and paste.. ila sasa kuna sku humu nliona mtu anasema mtoto unaeza fanana nae na bado si wako sjui kweli hvi?? Ilinikata mainii
 
38yrs unaanza utoto,acha ujinga huu.
Kama umemuacha songa mbele angalia yako achana na yake
 
Mbona hukumshtua ndugu yako?
 
Uko sahihi kabisa. Kwa habari ya zinaa ruksa ndoa kuvunjika:

"Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe"
1 Wakorintho 7 :2
Hiyo ni karne ya zamani mkuu. Halafu hakuna kanisa au sijui BAKWATA inavunja ndoa, mahakama ndio yenye mamlaka. Kazi yao ni kusuluhisha tu.
 
Mwenzio alitaka kuchanganya rangi tu, apate good genes! Wewe unauliza eti yote uliyomfanyia?

Kitaalam inaitwa Hypergamy. Akipata mwanaume anayeona ni mwanaume kushinda wewe (iwe kimuonekano, kifedha, kiumaarufu, kijamii) huwa hawazi uliyomfanyia. Hata uwe umempa figo. Hakuna kitu utamfanyia mwanamke kumzuia kucheat.

Dawa ni kuendelea kujiboresha kuwa the best man you can be, na kuendesha mahusiano badala ya kuendeshwa - kutokukubali ujinga wowote kutoka kwa mwanamke.

Wanaume tunahisi wanawake wanataka x+y+z hivyo nikimpa vyote hivyo hatanisaliti. Ila kiuhalisia hawa operate hivyo. Akishapata x+y+z anatengeneza mahitaji mapya p+q+r. Huenda asikusaliti, huenda akajizuia mpaka kufa, ila haibadilishi ukweli kwamba kuna kitu kinafuka moto ndani mwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…