Tulioacha wake zetu kwa sababu ya usaliti waliotufanyia tukutane hapa

Inawezekana kabisa mkuu
 
Sahh mkuu
 
Mwanamke akitoka nje ya Ndoa

Ukathibitisha hupaswi msamehe kabisa

Mwanamke ukimdaka na mwanaume hupaswi kabisa kuendelea nae au kuongea naye, we muache hata kama mna watoto muache atajijua mwenyewe.
Samehe 7×70
 
Mwanamke mpaka anapanua mapaja anawekwa ududu, unachomoka anaurudishia kwa mahaba, Kumbuka hajabakwa hapo karidhia kila kitu, Ni hatari sana kurudiana nae!
 
Ninawaza tu,ni ndoa ngapi zingevunjika kisa mwanaume kuzaa nje.Mrudie mkeo.Ina maana wewe hakuwahi kuzini?Ingetokea wewe ndo ungezaa nje,ndoa ingevunjika ?Kishakuambia ni bahati mbaya,amekuomba msamaha. Msamehe mrudiane.
Kei wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…