Wenye V6, V8 na Uber meno yote nje, hongereni DIT
Wewe huijui JF kumbe, ukithubutu kufanya hivyo utaukuta uzi jukwaa la matangazo madogo madogo.Ingefaa ifungulie Uri maalum wa hili suala, mtu aandike kirefu na afafanue zaidi, ni wapi unaweza kufunga huo mtungi na kwa gharama gani, na mtungi huo ni wa lita ngapi na utakupeleka km ngap, na hiyo gesi ni ya bei gani. Na je kama nitanunua gari linalotumia gesi kama ya huku ulaya je nitaweza kutumia huko TZ..
Watu wengi watanufaika hapo.
Hizi gesi ni lighter than air, hivyo hata ikivuja huenda hewani na hakuna hatari ya ku-accumulate na kulipuka, pia mitungi yake ni migumu mno kiasi hadi ipasuke labda uipige na bomu, ni very safe. Kwa Tanzania toka ianze kufungwa hapajawaji kuwa na incident ya aina yeyote ile. Hilo gari labda limelipuka kwa dynamite/ baruti, you never know.
Ofcourse, buti ndio sehemu safe ya kuweka mitungi hiyoUkiweka hyo kitu sahau kutumia buti yako ya gari..maana makitu yatajaa humo
NINAVYOJUA GESI YA LPG NI MAALUMU KWAAJILI YA KUPIKIA TU TOFAUTI NA YA MAGARI, SASA SIJUI ILO GARI LILITUMIAJE GESI YA LPG
Ushafunga kwenye brevis yako?Sorry, furaha imezidi kipimo
KWA MAGARI YALIYOONESHWA YAMEFUNGWA HIYO MITUNGI NI KWELI IMEFUNGWA KWENYE BUTI ILA KWA PEMBENI, HIVYO INACHUKUA NAFASI NDOGO TU.Ukiweka hyo kitu sahau kutumia buti yako ya gari..maana makitu yatajaa humo
Shkamoo Boss Maxence Melo ☺️☺️Button inakua wapi
Gauge ya gesi inasoma wapi na ya mafuta ya kawaida wapi?.
Unatofautishaje?.
Dah kwa wakati huu wa vyuma kukaza itakuwa ni kimbilio la wengi.Wenye V6, V8 na Uber meno yote nje, hongereni DIT
Post namba 28 imefafanua vizurimkuu hii ni habari njema! hebu jaribu kufafanua, hii ni habari njema hasa katika kipindi hiki! hebu anzia kwenye vituo vya ufungaji, gharama ya ufungaji kama ni kutegemeana na aina ya gari au ujazo wa gas yenyewe, na pia ni kwa jinsi gani inakuwa nafuu katika matumizi kulinganisha na mafuta ya kawaida
Acha tu, maji yalifika shingoniUshafunga kwenye brevis yako?
hapo siriazi mkuu...kuna vx imefungwa mitungi miwili niambie humo kwenye buti utawekantena nn..hyo mitungi inachukua nafasi kubwa sana..mayb kutokana na ujazo wakeKWA MAGARI YALIYOONESHWA YAMEFUNGWA HIYO MITUNGI NI KWELI IMEFUNGWA KWENYE BUTI ILA KWA PEMBENI, HIVYO INACHUKUA NAFASI NDOGO TU.