Tuliofunga gesi kwenye magari njooni tupongezane, bajeti ya mafuta kutoka 900,000/= hadi 200,000/= kwa mwezi

Hivi serkali makini kweli inashindwaje kuongeza vituo vya kujazia hizo gesi?! Yaan hadi leo kipo kimoja tu?!
 
Ningefurahi ukieleza gharama za kuweka mfumo huo mkuu
 
Ulifaa kuwa mleta uzi
 
Wazito kwenye kupanua vyanzo vya mapato wepesi wa kukusanya Kofi kwenye vyanzo vilivyo anzishwa na wengine
 
Napendekeza magari yote ya serikali yafungiwe huu mfumo wa gesi ili kuokoa fedha za kuagiza mafuta toka nje ya nchi, tutumie gesi yetu asilia
 
ni bora kununua gari yenye mifumo miwili iliyotengenezwa straight from kiwandani, nyinyi mnaofurahia hii kitu wait and see! mark my word kuna mtu atakua mfano then na biashara itapigwa marufuku. Nat gas sio kitu cha mzaha that much.
Hivi hakuna gari Japan ambazo zina mifumo miwili na gharama zake zitakuwa vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…