Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Jumlisha na cost ya installationWenye V6, V8 na Uber meno yote nje, hongereni DIT
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jumlisha na cost ya installationWenye V6, V8 na Uber meno yote nje, hongereni DIT
Wazito kwenye kupanua vyanzo vya mapato wepesi wa kukusanya Kofi kwenye vyanzo vilivyo anzishwa na wengineHivi serkali makini kweli inashindwaje kuongeza vituo vya kujazia hizo gesi?! Yaan hadi leo kipo kimoja tu?!
Ni modification ndogo tu wanafanya kwenye dashboard, kuna kuwa na zile reserve port za kufunga extra switch pale pembeni ya ignition, wataalam wanaelewa zaidi. Na pia kuna slave ECU inayounganishwa na master ECU / computer ili zishirikiane kwenye seamless/smooth changerover ya gesi kwenda mafuta and vice-versa. Na slave computer ikihisi gas pressure imeshuka sana basi automatically infyatua switch na kuirudisha kwenye mafuta, just incase umejisahau.
BINAFSI NILIWASIKIA HAO DIT WAKIHOJIWA CLOUDS FM NA WALISEMA KWASASA WANABADILISHA MAGARI YANAYOTUMIA TU PETROL YA UKUBWA WA AINA YOYOTE KWA GHARAMA YA TSH, MILIONI MOJA NA LAKI NANE (1,800,000) WAKASEMA VIFAA VYA KUFUNGA MAGARI YANAYOTUMIA DIESEL WAMESHALETA ILA BADO HAWAJAANZA KUFUNGA ILA SOON WATAANZA PIA YA DIESEL.
PIA WALISEMA KWENYE DASH BORD KUTAKUA NA ALAMA INAYOONESHA KIWANGO CHA GESI KILUCHOPO KAMA TU INAVYOONYESHA MAFUTA, PIA KUTAKUWA NA BUTON MAALUM YENYE UWEZO WA KUSWICH OFF UPANDE WA GESI KAMA IMEKWISHA NA KURUDI UPANDE WA MATUMIZI YA PETROL.
NA WALISEMA KWASASA KILO MOJA YA GESI NI TSH, 1500 NA KWA GARI DOGO INA UWEZO WA KUTEMBEA MPAKA KM 27 KWA KG, 1 NAFIKIRI KIDOGO NIMEELEWEKA.
Sawa, lakini akawa mchoyo wa kushare, ndio hivyo tena..Ulifaa kuwa mleta uzi
Hii itakua nzuri sana itatufaa sisi walala hoiUlifaa kuwa mleta uzi
Wazito kwenye kupanua vyanzo vya mapato wepesi wa kukusanya Kofi kwenye vyanzo vilivyo anzishwa na wengine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Najua tusio na magari tumekazana kufuatilia huu uzi... Msijisikie wapweke tupo pamoja..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ww wa baskeli gesi yako ipo tumboni...
[emoji23][emoji23][emoji23]hapo gesi ni kiuno chako ...unavyokizungusha vizuri, ndiyo inavyochanganya....Ww wa baskeli gesi yako ipo tumboni...
Hivi hakuna gari Japan ambazo zina mifumo miwili na gharama zake zitakuwa vipi?ni bora kununua gari yenye mifumo miwili iliyotengenezwa straight from kiwandani, nyinyi mnaofurahia hii kitu wait and see! mark my word kuna mtu atakua mfano then na biashara itapigwa marufuku. Nat gas sio kitu cha mzaha that much.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Najua tusio na magari tumekazana kufuatilia huu uzi... Msijisikie wapweke tupo pamoja..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Poa mkuu, ngoja niendelee kula maharage kwa wingiWw wa baskeli gesi yako ipo tumboni...