Tulioingia kwenye kilimo tukaangukia pua tukutane hapa

Sijamuona hata mmoja aliyetoboa, wengi wanaolima mahindi/tikiti/tumbaku/korosho/pamba kila siku nawaona wanalia lia tu,labda wanapata hela ya kula tu lkn sio kua matajiri.

Nimekaa kusini sana mkuu korosho na ufuta unalipa san na watu wanatajirika ila ambao ni middlemen aka kangomba
 
Hongera sana mkuu,kazi nzuri sana hio.

Bahati mbaya mimi watu wote ninaowajua/wanaonizunguka wanaojishughulisha na mambo ya kilimo sijawahi kumuona aliyetoboa hata mmoja mkuu.
Inahitaji moyo; mpaka nafikia hapo nilipigwa kama M3. Sasa nataka nirudi kwa stail mpya
 
Mnajua gunia moja LA mahindi kwa sasa sh ngapi? Kwa taarifa yenu mahindi makavu yamenifuta machozi kuliko ambavyo ningeuza mahindi mabichi kwa sh 120
 
Timing ya market kaka..sio sahihi kulima kitu ambacho mda wa kuvuna mnavuna wengi inabd wenzio wakiwa wanavuna we ndo unapanda sasa ili by the time unavuna unakuta demand kubwa sokoni..tatizo ni wengi tunategemea mvua thus wote tunalima kipind kimoja na kuvuna kipind kimoja
 


Hyonilikua miaka 6 au 7/nyuma..ss hb watu wana hyo elimu balaa.lima tikiti lako wakat wa masika au kiangazi kikali..ukifika sokon kuna gari km 30/hv..!hyo ilikia tecnic ya miaka ya jk.sio nw
 
Kilimo ni kamali kama betting na wala si kama usemavyo nyanya ikiyouzwa tenga sh 2,000 mwezi wa 9.Haijamwagiliwa na mvua. Saiz wanasema nyanya ya march ndo inasoko sasa utaona ukifika march
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…