aka2030
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 2,657
- 3,679
Miaka ile Mwanza ilikuwa na raha zake
Beach lazima uende tunza beach ndio ya kishua.
Club zilikuwa deluxe na capricabana ndio za kishua hasa ambapo unakutana na kina dj cutter kidboy huku watoto wa kiswazi wakikutana pale magnum.
Tape music za nje tulikuwa tunanunua pale boom explosion. Hoteli nzuri ya kupunga upepo ilikuwa ni rock beach ambayo mashindano ya umiss yote yalikuwa yanafanyika pale.
Mzee wa punk style alikuwa ndio bishoo mwanza yote. Wanafunzi wajanja wote walikuwa pamba