Tulioishia shule ya Msingi tukumbushane!

Vijana mna vyeti hamna ajira..ni heri la saba mjivunie tu maana mnaweza mkawa na akili za kujiongeza kuliko hawa wanajiita wa vyuo vikuu
Asante kwa kutupa moyo mkuu!😊
 
Aliyeishia darasa la tano huwa anaandika kwa staili hii hapa..
TUJUHANE TULIYOKUWA NA ELIMU YA DALASA LA SABA..
Lichadi abali ya hasubui, umeamuka sarama?


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamani wapendwa ni utani tuu tucheke siku ziende.
Msichukulie serious!!!!

Usiku mwema [emoji113][emoji113][emoji113][emoji113][emoji113]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuna uelewa mpana pia. Si unaona hata kwenye huu Uzi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🀣🀣nyie cheche sana hamna lolote!

Njooni mtaani tuwafundishe!
 
Naomba nikusahihishe kidogo ni ACCOUNTING Sio ACCOUNT.
Karibu mkuu ukiwa na swali lingine.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio maana nilisema utuache Hiyo BAF mi nikajua ulitaka kuandika bafu LA kuogea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…