- Thread starter
- #81
Kwanza Wanaiba mitiani😂😂
Kwani uongo mkuu?
Wengi wenu chuo mnaenda kukua tu(samahani lakini) ili umri usogee muolewe na kuoa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza Wanaiba mitiani😂😂
Kwani uongo mkuu?
Wengi wenu chuo mnaenda kukua tu(samahani lakini) ili umri usogee muolewe na kuoa!
ww humesma ndo hunaturngshHata nikikuambia utaelewa kweli???[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimesoma BAF
Naomba nikusahihishe kidogo ni ACCOUNTING Sio ACCOUNT.Hiyo ACCOUNTS &FINACE ndiyo inakupa kiwewe
Asante kwa kutupa moyo mkuu!😊Vijana mna vyeti hamna ajira..ni heri la saba mjivunie tu maana mnaweza mkawa na akili za kujiongeza kuliko hawa wanajiita wa vyuo vikuu
Lichadi abali ya hasubui, umeamuka sarama?Aliyeishia darasa la tano huwa anaandika kwa staili hii hapa..
TUJUHANE TULIYOKUWA NA ELIMU YA DALASA LA SABA..
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Mkuu sisi tulioishia chuo kikuu comment zetu tunaandika wapi?
Au tuzichanganye na zenu tuu??
Wana GPA kubwa kumbe wamepeana nyumba za wageni😂Kwanza Wanaiba mitiani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuna uelewa mpana pia. Si unaona hata kwenye huu Uzi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani uongo mkuu?
Wengi wenu chuo mnaenda kukua tu(samahani lakini) ili umri usogee muolewe na kuoa!
ahahahahaaNaomba nikusahihishe kidogo ni ACCOUNTING Sio ACCOUNT.
Karibu mkuu ukiwa na swali lingine.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣nyie cheche sana hamna lolote![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuna uelewa mpana pia. Si unaona hata kwenye huu Uzi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeelewa usijitoe ufahamu...Naomba nikusahihishe kidogo ni ACCOUNTING Sio ACCOUNT.
Karibu mkuu ukiwa na swali lingine.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
si hunaona yure wa dodma hamekamtwa gest na mwanafunz wakWana GPA kubwa kumbe wamepeana nyumba za wageni😂
Raha sasa hivi mnaambiwa msivae sutiChuo kikuu raha sana. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio maana nilisema utuache Hiyo BAF mi nikajua ulitaka kuandika bafu LA kuogeaNaomba nikusahihishe kidogo ni ACCOUNTING Sio ACCOUNT.
Karibu mkuu ukiwa na swali lingine.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeamua kuandika kizombi kabisa mkuu😂😂si hunaona yure wa dodma hamekamtwa gest na mwanafunz wak
Hahahhahahaha jamani Mimi nimeshalala ila umeniamsha.ww humesma ndo hunaturngsh
Mbona hunarara mapemJamani wapendwa ni utani tuu tucheke siku ziende.
Msichukulie serious!!!!
Usiku mwema [emoji113][emoji113][emoji113][emoji113][emoji113]
Hahaha wanataka niandike kama Heading ya Bandiko inavyosema!Umeamua kuandika kizombi kabisa mkuu😂😂