Mimi na rafiki angu tulipata location moja tukitaka kuanzisha duka la dawa ila frame watu wengi wakawa wanahitaji,tulichoamua n kuilipia ili iwe mikonon mwetu...mara baada ya kuilipia tukaanza kufata process za kufungua duka la dawa kwenda kwa mfamasia wa wilaya akasema kwa hilo eneo sahz hayahitajiki tena maduka ya dawa dah,,vijana tukaanza kuomba tusaidiane nae ili jambo letu lifanikiwe ila bado akagoma kabisa ikabd tumwambie tu mwenye nyumba kuwa tunarudisha frame akipata mtu mwngne ataturudshia pesa yetu imekaa karibia week tatu hajapatikana mtu bado had leo dah..ila tumejifunza location nyngne ttanza kuwasiliana kwanza na mamlaka husika