Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Windows 98 ulikuwa darasa la 3?Windows 98 nakumbuka niko la 3 shule tukawa tunafundishwa Typing tutor 6 anaye patia swali anaendelea kushika mouse ukikosea unampatia mwenzako 😆
🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Windows 98 ulikuwa darasa la 3?Windows 98 nakumbuka niko la 3 shule tukawa tunafundishwa Typing tutor 6 anaye patia swali anaendelea kushika mouse ukikosea unampatia mwenzako 😆
Kwa Window 95 Data Storage kubwa ikiwa MB 250..Speed ya ku copy files ilikuaje??data mlikua Mna transfer kwa njia gani?? internet speed ilikuaje??
HD disk storage kubwa ilikua na uwezo gani??Ram Storage? Multimedia files mlikua Mna access vipi??
Kulikua na Digital pictures??upige picha kwa camera then uhamishe kwenye Computer??
YapWindows 98 ulikuwa darasa la 3?
🤣
MIMI piaNilikuwa nacheza games kwenye Amstrad.
Take that.
FOH!MIMI pia
Hapo wengi hatujaziliwa,Amsrad CPC 1984-1990,ilikua wapi mkuu??Nimeanza kutumia kompyuta kabla ya asilimia 99 ya wanachama wote wa JF hawajaanza kutumia kompyuta na wengine kabla hata hawajazaliwa.
Nani humu amewahi kuzitumia kompyuta za Amstrad?
Aisee vitoto vingi sana humu 🤣.Usimcheke mkuu.
Mimi nimeanza kutumia windows XP service pack 2Windows 98 nakumbuka niko la 3 shule tukawa tunafundishwa Typing tutor 6 anaye patia swali anaendelea kushika mouse ukikosea unampatia mwenzako 😆
Acha utani bruh mimi ni mtu mzima sasa hiv 😄Aisee vitoto vingi sana humu 🤣.
Wapi Super Angelo 😆View attachment 3006114
Hicho kijamaa kilinipagawisha sana pindi nikiwa sina majukumu bila kusahau balloons.
View attachment 3006114
Ubarikiwe mkuu,wengine tunasoma primary Kuna windows XP service pack 2Ukiwa na harddisk ya 4 au 8gb inatosha kabisa kufanya installations ya windows na office 97.
Kipindi hiki internet ilikuwa ni cafe ingawa baadae ilikuja tekinogia ya infrared unaweka simu na laptop karibu kwa uwiano ila desktop ilikuwa lazima ununue device pembeni.
Kuhusu speed ya kutuma files kwa wakati huu flash drive chache sana tena kwa wenye pesa hapa ndipo cd rw zilitumika sana unaandika na kufuta lkn kama kazi ndogo kama documents za word, excel nk unarumia flash tu, na kuhusu cd kulikuwa na program maarufu kadhaa kama nero ambayo ina option kabisa ya kuzima computer baada ya burning. Yani unaweza burn cd moja ikachukua masaa matatu kwa hiyo kama unalala una tick hiyo option then unaacha unalala. Na CD Drive RW zilikuwa deal sana wakati huu maana ilikuwa lazima ununue separate.
Kuhusu games nyingi zilikuwa za dos kama akina prince of persia lkn zingine ni setup lkn unakuta ina mb 40 tu
Digital picture zilikuwepo lkn kwa quality mbovu ambayo wakati huo ilikuwa best
Forest Hill
222 Aldrich Road, Cutteslowe, Oxford, Oxfordshire.Hapo wengi hatujaziliwa,Amsrad CPC 1984-1990,ilikua wapi mkuu??
Siyo tu kutumia tbali hata kupiga windowWale wakongwe walio
anza kutumia computer na operating system za Ms DOS, Windows 95, Windows 98 na kabla ya hapo njoo tupe historia yako ulijifunzia wapi computer.
Nini au tukio gani linakukumbusha mbali na ilikuwaje.
Unakumbuka nini juu ya hofu ya Y2K?
Ilisemekana computer zote zitazima ukifika usiku wa saa sita kamili tarehe 1 mwezi wa kwanza mwaka 2000, new millennium.
Vijana wa Sasa umewahi kuwaza inawezekana kutumia computer bila mouse au touchpad?
Imagine unaingia na PDA chumba cha mtihani kwenye UE pale UDSM na wasimamizi hawaijui wanadhani ni calculator tu. Unaweka formulas zako za Math au Quantum Physics au za Statistics unafaulu vizuri tu mitihani.
Sawa, heshima yako mkuu 🤣.Acha utani bruh mimi ni mtu mzima sasa hiv 😄
Mzee kipindi cha Window 95 na 97 Ukute Computer Ina Hard disc ya 7 au 8 GB ni Vigumu sana..Ukiwa na harddisk ya 4 au 8gb inatosha kabisa kufanya installations ya windows na office 97.
Kipindi hiki internet ilikuwa ni cafe ingawa baadae ilikuja tekinogia ya infrared unaweka simu na laptop karibu kwa uwiano ila desktop ilikuwa lazima ununue device pembeni.
Kuhusu speed ya kutuma files kwa wakati huu flash drive chache sana tena kwa wenye pesa hapa ndipo cd rw zilitumika sana unaandika na kufuta lkn kama kazi ndogo kama documents za word, excel nk unarumia flash tu, na kuhusu cd kulikuwa na program maarufu kadhaa kama nero ambayo ina option kabisa ya kuzima computer baada ya burning. Yani unaweza burn cd moja ikachukua masaa matatu kwa hiyo kama unalala una tick hiyo option then unaacha unalala. Na CD Drive RW zilikuwa deal sana wakati huu maana ilikuwa lazima ununue separate.
Kuhusu games nyingi zilikuwa za dos kama akina prince of persia lkn zingine ni setup lkn unakuta ina mb 40 tu
Digital picture zilikuwepo lkn kwa quality mbovu ambayo wakati huo ilikuwa best
Forest Hill
Super humbled u know 🙏Sawa, heshima yako mkuu 🤣.