Tuliokuwa tunajua kutumia computer kabla ya Windows XP tukutane hapa, Hofu ya Y2K n.k

Tuliokuwa tunajua kutumia computer kabla ya Windows XP tukutane hapa, Hofu ya Y2K n.k

Miaka hiyo Magomeni Mapipa jirani na kwamacheni ndani ya Sea boys internet Cafe.
Watu tunachezea computers au pale jirani na round about ya Uhuru Kariakoo kulikuwa na Internet Cafe kubwa tu.
Maisha haya wajameni sasa hivi kila kitu kiganjani mwako..))
Hizo cafe ni enzi ya win xp service pack 2!!
Seaboy alikuwepo mapipa na Buguruni Shell,
Pale mapipa mpinzani wake alikuwa Virus internet cafe ya mwarabu.
Round about uhuru alikuwepo Mfuruki cafe na Mhindi wa Kings stationary, pale suwata alikuwepo Mafuruki pia.
Mtaa wa congo ilikuwepo cafe ya shaista.
pia ilikuwepo Richmond nyuma ya Hotel ya Ndessa pesa
Net ilikuwa ni DSl na dial up connection ya cats_Net
 
Back
Top Bottom