Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Wale wakongwe walio
anza kutumia computer na operating system za Ms DOS, Windows 95, Windows 98 na kabla ya hapo njoo tupe historia yako ulijifunzia wapi computer.
Nini au tukio gani linakukumbusha mbali na ilikuwaje.
Unakumbuka nini juu ya hofu ya Y2K?
Ilisemekana computer zote zitazima ukifika usiku wa saa sita kamili tarehe 1 mwezi wa kwanza mwaka 2000, new millennium.
Vijana wa Sasa umewahi kuwaza inawezekana kutumia computer bila mouse au touchpad?
Imagine unaingia na PDA chumba cha mtihani kwenye UE pale UDSM na wasimamizi hawaijui wanadhani ni calculator tu. Unaweka formulas zako za Math au Quantum Physics au za Statistics unafaulu vizuri tu mitihani.