Superhuman 1995
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 1,909
- 3,210
Tunakila sababu kusema kwamba kwa Karne katika jangwa la Sahara kuna kikundi cha kigaidi kinachoitwa CCM dunia inapaswa ijue hivyo kwa sasa sio political party, ni terrorist organization kama boko haramu, al shabab, Isis au al qaida.Mjinga ni yule anayetaka kuvuruga amani tukose kuuza mazao yetu.Jitambue fanya kazi ACHA ujinga
Tunakila sababu kusema kwamba kwa Karne hii ya 21 katika jangwa la Sahara kuna kikundi cha kigaidi kinachoitwa CCM ,dunia inapaswa ijue hivyo kwa sasa sio political party, ni terrorist organization kama boko haramu, al shabab, Isis au al qaida.Wiki mbili zilizopita gunia lilikua 105000 kule majimoto
Tunakila sababu kusema kwamba kwa Karne hii ya 21 katika jangwa la Sahara kuna kikundi cha kigaidi kinachoitwa CCM ,dunia inapaswa ijue hivyo kwa sasa sio political party, ni terrorist organization kama boko haramu, al shabab, Isis au al qaida.Unahangaika na mtu anayewaza kupinga Kila kitu badala ya fursa.Haelewi mwaka jana gunia lilifika 150k
Tabora ipi hiyo Mkuu? Mwaka jana nilijaribu Kule Loya na mwaka huu nilijaribu pale Makibo SikongeTabora
Tunakila sababu kusema kwamba kwa Karne hii ya 21 katika jangwa la Sahara kuna kikundi cha kigaidi kinachoitwa CCM ,dunia inapaswa ijue hivyo kwa sasa sio political party, ni terrorist organization kama boko haramu, al shabab, Isis au al qaida.well done gentleman 👊
Inahusiana nini na bei ya gunia la mpunga?Tunakila sababu kusema kwamba kwa Karne hii ya 21 katika jangwa la Sahara kuna kikundi cha kigaidi kinachoitwa CCM ,dunia inapaswa ijue hivyo kwa sasa sio political party, ni terrorist organization kama boko haramu, al shabab, Isis au al qaida.
Nilipo gunia la mpunga 90kWewe sio mkulima, gunia la mahindi sasa hivi elfu 38 hadi 35 shambani..!!
Mpunga elfu 80 gunia
CCM na wafuasi wake hawakupaswa kuwa zama hizi bali walipaswa kuwa stone ageInahusiana nini na bei ya gunia la mpunga?
NB
CCM ilimtawala Babu,baba na wewe,itawatawala wanao na wajukuu pia
Tunakila sababu kusema kwamba kwa Karne hii ya 21 katika jangwa la Sahara kuna kikundi cha kigaidi kinachoitwa CCM ,dunia inapaswa ijue hivyo kwa sasa sio political party, ni terrorist organization kama boko haramu, al shabab, Isis au al qaida.Nilipo gunia la mpunga 90k
Endelea na political masturbation, wengine tumechoka,tulianza 1995CCM na wafuasi wake hawakupaswa kuwa zama hizi bali walipaswa kuwa stone age
Nenda usangu mpaka 70k unabeba tena grade one..Nilipo gunia la mpunga 90k
Tunakila sababu kusema kwamba kwa Karne hii ya 21 katika jangwa la Sahara kuna kikundi cha kigaidi kinachoitwa CCM ,dunia inapaswa ijue hivyo kwa sasa sio political party, ni terrorist organization kama boko haramu, al shabab, Isis au al qaida.Endelea na political masturbation, wengine tumechoka,tulianza 1995
Tz siyo usangu tu, infact huu ni muda wa mavuno,by September itafika walau 110kNenda usangu mpaka 70k unabeba tena grade one..
Kujua haya Ina faida gani na Mpunga wangu? Bangi ni mbaya sana sema mnazitetea tu.Tunakila sababu kusema kwamba kwa Karne hii ya 21 katika jangwa la Sahara kuna kikundi cha kigaidi kinachoitwa CCM ,dunia inapaswa ijue hivyo kwa sasa sio political party, ni terrorist organization kama boko haramu, al shabab, Isis au al qaida.
Hiko kipindi mbali August tu utapanda hadi 100kTz siyo usangu tu, infact huu ni muda wa mavuno,by September itafika walau 110k
Muongo hiyo.Mpunga umeshatoka huko.Sehemu ya Bei chini kabisa Kwa Sasa ni 80k na Bei ya juu 130k kutegemeana na aina ya mbegu uliyolima.Sasa hiyio laki na thelethini ni hela tena kwa gunia?
KabisaHiko kipindi mbali August tu utapanda hadi 100k