Tuliolima mpunga sasa gunia ni Tsh. 130,000/= halafu kijana unashadadia maandamano

Madhara ya kuvimbiwa bisi ndio haya.
 

Kashangae Makaburini Huko Watu,Watu Wanapandwa Hawaoti....​
 
Huu ni uongo uliotukuka, unakodia wapi shamba la mpunga elf 50 Mkuu? Huku niliko mimi kukodi shamba ni laki 3, bado mbegu, bado ng'ombe za kulimia, bado vibarua, bado mbegu
 
Hakuna Cha shauri,fanya kazi na washauri na uwajenge wengine katika kufanya kazi.Maandamano hayawezi kutupa fursa yoyote.
Ksma ambavyo utekaji na mauaji visivyoweza kutupa fursa yoyote.
 
Mpumbavu usiye na akili, nyie ndio chanzo cha umaskini Tanzania 👎
 
Wapi huko?
 
Una

unauliza soko la nini wakati mazao yako ni comment kama hizi.Lima kwanza Sisi tunaolima tunajua soko lilipo.Ndiyo maana unaona watu wanaandika mpunga ni 90k na mahali pengine ni zaidi.Wewe hata gunia huna unataka soko.Kaandamane uvune mkuu
Acha uongo bwana mkubwa. Hakuna sehemu nchi hii gunia la mpunga linauzwa 130,000/= au 90,000/= kwa sasa.
 
Kama ulihitimu chuo kikuu, basi ulitoka kapa. Inaonekana huelewi hata basis ya maandamano yanayopangwa kufanyika.

Hiyo kazi ya kulima mpunga unayoifanya wapo wengi wanaoifanya vizuri kuliko hata wewe (na wengine wana kazi ambazo ni bora kuliko hiyo kazi yako), lakini bado wanaona umuhimu wa kuandamana kudai haki zao za kikatiba.

Hatutafuti hisani ya mtawala, tunadai haki zetu za kikatiba.
 
CCM NI WAPUMBAVU SANA MKUU, LAKINI NITAKUJIBU KWA KIFUPI ANAEVUNJA UTULIVU/AMANI NI....

1. Anayeteka watanzania Wenzetu akina Soka, Polepole, Mdude, Chaula nk.

2. Anayepiga watu Risasi Akina TUNDU LISSU, SATIVA AKWILINA MAWAZO NK

3. Anayezuia haki ya Kikatiba ya Mikitano ya Vyama vya siasa.
(Kushiriki mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani.

4. Anayezuia Maandamano ambayo ni haki ya kikatiba ya Tanzania.

5. Anayezuia na Kupora Haki ya watanganyika ya kuchagua kiongozi wanaye mtaka.

6.Anayeficha Kila aina ya mikataba, Bandari, Ardhi, Dhahabu, Gesi nk.

7. Anayekandamiza uhuru wa vyombo vya Habari

CCM WAMETUONA WATANGANYIKA NI MALOFA SANA


AMKENI WATANGANYIKA.
 
Ibara ya 20(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Ibara hiyo inasema:

"Kila mtu anastahili kuwa huru, bila ya kuathiri sheria za nchi, kukutana na watu wengine kwa hiari yake na kwa amani, kuchanganyika na kushirikiana na watu wengine, kutoa mawazo hadharani..."

Hii ndiyo ibara inayotambuliwa kama msingi wa kikatiba wa uhuru wa kukusanyika na kuandamana kwa amani nchini Tanzania.
 
Utakuwa unatumia makebo kufikiri wewe.
 
Kwenye maisha killa mtu ana vipaumbele vyake, wewe pambana na mpunga wako Acha wengine wapambanie Taifa
 
Yaani ccm wako tayari kuua watu kwa kisingizio cha amani
 
Aah! Wapi..Ni lazima tuandamane CCM mpaka watuachie Nchi yetu!!
 
Ukisikia wananunua mafuta kwa bei mara 3 ya bei ya soko na kuja kutuuzia huku na kuoandisha gharama za maisha, unajisikiaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…