Tuliombe Jeshi la Polisi kuzuia mkutano huu wa TLS hapa Ubungo Plaza kuhusu watu waliopotea

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Najua polisi makao makuu mpo humu na mnapitia haya hawa wanasheria wamepanga kukutana na vyombo vya habari vya nje na ndani kuwaaminisha watu kuwa Rais Samia ndio anahusika na kuteka watu .

Wanataka kuchafua image ya taifa letu lenye amani na utulivu mkubwa kwa kesi mbili tatu za kupotea kwa watu ambao hata huko nje wanatekwa na kuwawa tu .

Litakuwa ni jambo la hatari kama mlizuia maandamano ya chadema halafu mruhusu hili.

 
Mwabukusi anachokitafuta atakipata! Ni swala la muda tu!!
 

Wamefanya vizuri hili watu wajue nini haki zao ndugu zao wanapopotea. Wanaisaidia serikali kutenda haki zaidi. Wasizuiwe..
 
Huo mkutano ni fungamanishi katika kuleta ufumbuzi na umoja wa kitaifa, Serikali inapaswa kuheshimu dhima na maudhui kama hayo yenye dhamira ya kuponya vidonda, simanzi na kuweka njia ya maamuzi kwa viongozi.
 
Una kibendi? Wacha Taifa liongee
 
Acha uboya na uchawa wa kindezi wewe!
 
Kwa nini una fikra za kishetani namna hii?? Au na wewe ni miongoni mwa hayo mashetani yanayoua watu?

Kwa akili yako ndogo, wanasheria wote wa nchi hii hawalipendi Taifa lao wala Serikali? TLS imeandaa mjadala wa kitaalam kwa mtizamo wa kisheria, halafu wewe unakuja na hoja za kipuuzi kabisa!!
 
Sasa kama mama ameshindwa kufuata ushauri mwepesi kabisa wa kuunda Tume Huru, hivi unadhani tutamfikiriaje??

Yeye ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi yote nchini, Kwa vyovyote vile Kwa kutumia "circumstantial evidence " yeye anakuwa ni lazima aunganishwe katika mauaji ya Meddy Kibao!😳
 
Na nyie ni sehemu ya "wasiojulikana?". Nyie ni sehemu ya polisi bandia wanaokamata watu na kwenda kuwaua..?

Je, mnahusika na kutekwa, kuteswa na kupotea/kuuwawa kwa raia wasio na hatia..?

majinga tena yapigwe marungu yq ugoko
Kwanini polisi na watu wa CCM na serikali wanaowatuma mnaogopa sana hii ishu watu kuipazia sauti kwa njia hii au ile? Kwanini hamtaki hata ijadiliwe kwa uwazi na watu....?
 
Umetaka tu kunijibu.. Ila. Mnalo aiseee. Mbona sikukuona ukiambata na Mkiti wenu ile siku!!! πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
ukiwaona humu sasa utafikiri watafanya maajabu. njoo kwa road sasa. wamemsaliti mwenyekiti wao. sasa hapa wanamjaza upepo Mwambukusu ili ale virungu wao wakiwa vifuani mwa wake zao huku wanachungulia simu
 
Kweli viongozi wa tz hawafuati sheria coz za ufisadi na ujinga wa kutokujua Sheria,
 
Hawa TLS utazani hawakuwepo ktk utawala wa Beduwi JIWE, Raisi wao pamoja na kula Chuma 16 mchana kweupe, lkn hawakuwai kufanya Press conference yoyote mpaka Mr.Push up anaingia kuzimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…