mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Huyu mleta uzi anataka nchi watu wapelekewe matamasha ya kina zchu tuuukwa akili za mleta mada anataka mambo yanayoendelea nchini yajadiliwe na kuongelewa na wana ccm tu pekee ila wasio ccm wakiongea tu kosa utasikia tunavuruga amani ya nchi mara tunabomoa taifa alafu hata hawajui hio amani ya nchi ndio nini hasa ni bora waseme raia wakikemea maovu yanayotendeka nchini kwamba viongozi wanakosa amani na furaha wanakereka hawataki kusemwa maovu yao ndo wanatumia polisi kuficha udhaifu waa wa kutowajibika na kuchukua hatua..wao wanafikiri eti amani na furaha ya wenye madaraka wanatafsiri ndio amani na furaha ya taifa wajinga kabisa hawa.!
Ova