Tuliombe Jeshi la Polisi kuzuia mkutano huu wa TLS hapa Ubungo Plaza kuhusu watu waliopotea

Najua polisi makao makuu mpo humu na mnapitia haya hawa wanasheria wamepanga kukutana na vyombo vya habari vya nje na ndani kuwaaminisha watu kuwa Rais Samia ndio anahusika na kuteka watu .

Wanataka kuchafua image ya taifa letu lenye amani na utulivu mkubwa kwa kesi mbili tatu za kupotea kwa watu ambao hata huko nje wanatekwa na kuwawa tu .

Litakuwa ni jambo la hatari kama mlizuia maandamano ya chadema harafu mruhusu hili.

View attachment 3111930
Trash
 
Mwabukusi anachokitafuta atakipata! Ni swala la muda tu!!
Wewe vp tena unamtishia nani, unamfahamu vema huyo Jamaa?? Huyo ni Marehemu anaetembea haogopi kufa na kamwe hatoogopa.

Ninyi ndio mna kitu mnakitafuta kwa raia na mtakipata.
 
Hawa TLS utazani hawakuwepo ktk utawala wa Beduwi JIWE, Raisi wao pamoja na kula Chuma 16 mchana kweupe, lkn hawakuwai kufanya Press conference yoyote mpaka Mr.Push up anaingia kuzimu.
Yuko wapi huyo JIWE sasa hivi?
Hivi kwanini Watanzania mmekuwa na akili za hovyo yaani mnapenda sana kuwapamba Watawala wakati uhalisia wa hali yenyewe haupo hivyo ?
Wapeni watu uhuru wa kutoa mawazo mbadala, na kuwa Kiongozi sio kwamba wewe ni Malaika na haukosei. Acheni mawazo mgando nanWatawala ni Binadamu kama wengine
 
Najua polisi makao makuu mpo humu na mnapitia haya hawa wanasheria wamepanga kukutana na vyombo vya habari vya nje na ndani kuwaaminisha watu kuwa Rais Samia ndio anahusika na kuteka watu .

Wanataka kuchafua image ya taifa letu lenye amani na utulivu mkubwa kwa kesi mbili tatu za kupotea kwa watu ambao hata huko nje wanatekwa na kuwawa tu .

Litakuwa ni jambo la hatari kama mlizuia maandamano ya chadema harafu mruhusu hili.

View attachment 3111930
Acha uongo
 
Yaan Bora taifa lingetoa wajinga kama ww kafara Kwa majin yakatupa ela tukajenga barabara na tukaweka laini mbili za reli ya SGR kulko kua na mtu hasara kama ww
 
W
Najua polisi makao makuu mpo humu na mnapitia haya hawa wanasheria wamepanga kukutana na vyombo vya habari vya nje na ndani kuwaaminisha watu kuwa Rais Samia ndio anahusika na kuteka watu .

Wanataka kuchafua image ya taifa letu lenye amani na utulivu mkubwa kwa kesi mbili tatu za kupotea kwa watu ambao hata huko nje wanatekwa na kuwawa tu .

Litakuwa ni jambo la hatari kama mlizuia maandamano ya chadema harafu mruhusu hili.

View attachment 3111930
Wacha tuone kuna jipya gani kwa mkutano, adi wameitisha kuna jipya na linasaidia sisi wananchi na si CCM.
 
Najua polisi makao makuu mpo humu na mnapitia haya hawa wanasheria wamepanga kukutana na vyombo vya habari vya nje na ndani kuwaaminisha watu kuwa Rais Samia ndio anahusika na kuteka watu .

Wanataka kuchafua image ya taifa letu lenye amani na utulivu mkubwa kwa kesi mbili tatu za kupotea kwa watu ambao hata huko nje wanatekwa na kuwawa tu .

Litakuwa ni jambo la hatari kama mlizuia maandamano ya chadema harafu mruhusu hili.

View attachment 3111930
Bila shaka utakuwa mwanachama mtiifu wa CCM
 
Badala ya kuupiga marufuku inatakiwa polisi wapeleke muwakilishi pale, mheshimiwa rais atume mtu wake ,wizara husika zipeleke wajumbe tena ikibidi poliwajiandae kutoka mada na kuteki notice kabisa maana ni mkutano utawasaidia sana kukomesha hii hali.
 
Yuko wapi huyo JIWE sasa hivi?
Hivi kwanini Watanzania mmekuwa na akili za hovyo yaani mnapenda sana kuwapamba Watawala wakati uhalisia wa hali yenyewe haupo hivyo ?
Wapeni watu uhuru wa kutoa mawazo mbadala, na kuwa Kiongozi sio kwamba wewe ni Malaika na haukosei. Acheni mawazo mgando nanWatawala ni Binadamu kama wengine
Hayupo kwa Sasa, lkn kwa nini alivokawepo TLS walijifanya wanaona kama hawaoni Uchafu wa yule?
 
Najua polisi makao makuu mpo humu na mnapitia haya hawa wanasheria wamepanga kukutana na vyombo vya habari vya nje na ndani kuwaaminisha watu kuwa Rais Samia ndio anahusika na kuteka watu .

Wanataka kuchafua image ya taifa letu lenye amani na utulivu mkubwa kwa kesi mbili tatu za kupotea kwa watu ambao hata huko nje wanatekwa na kuwawa tu .

Litakuwa ni jambo la hatari kama mlizuia maandamano ya chadema harafu mruhusu hili.

View attachment 3111930
Ni Tanzania peke yake kuliko na mabumunda duniani eti wazuiwe wasitetee waliouliwa wala wasijadili! hata yale masokwe kule chigoma yana umoja aisee
 
Acha upumbavu huo mkutano ni fungamanishi katika kuleta ufumbuzi na umoja wa kitaifa, Serikali inapaswa kuheshimu dhima na maudhui kama hayo yenye dhamira ya kuponya vidonda, simanzi na kuweka njia ya maamuzi kwa viongozi.

Hali ni mbaya sana ikiachwa hivyo ni hatari mno, machawq kama nyie ni aina ya mashetani wabaya Mithili ya popobawa ushuzi
Najua polisi makao makuu mpo humu na mnapitia haya hawa wanasheria wamepanga kukutana na vyombo vya habari vya nje na ndani kuwaaminisha watu kuwa Rais Samia ndio anahusika na kuteka watu .

Wanataka kuchafua image ya taifa letu lenye amani na utulivu mkubwa kwa kesi mbili tatu za kupotea kwa watu ambao hata huko nje wanatekwa na kuwawa tu .

Litakuwa ni jambo la hatari kama mlizuia maandamano ya chadema halafu mruhusu hili.

Wakizuia watathihirisha uhusika wao. Hiyo nguvu ya kuzuia mijadala na maandamano kuhusu watekaji na wauaji kwanini isitumike kuzuia uhalifu huo? Kwanini Serikali ipo slow kuhusu watekaji na wauaji hao?
 
uwoga wa nn sasa kwenye hoja!hapo cha kufanya na nyie pelekeni watu wenu wakajibu hoja ambazo mtalaumiwa nazo!!!
 
CCM mnauogopea nn huo mkutano? si ni watu wanajadiki mambo ya nchini mwao.

Tena tunaomba uwe live media zote.
kwa akili za mleta mada anataka mambo yanayoendelea nchini yajadiliwe na kuongelewa na wana ccm tu pekee ila wasio ccm wakiongea tu kosa utasikia tunavuruga amani ya nchi mara tunabomoa taifa alafu hata hawajui hio amani ya nchi ndio nini hasa ni bora waseme raia wakikemea maovu yanayotendeka nchini kwamba viongozi wanakosa amani na furaha wanakereka hawataki kusemwa maovu yao ndo wanatumia polisi kuficha udhaifu waa wa kutowajibika na kuchukua hatua..wao wanafikiri eti amani na furaha ya wenye madaraka wanatafsiri ndio amani na furaha ya taifa wajinga kabisa hawa.!
 
Najua polisi makao makuu mpo humu na mnapitia haya hawa wanasheria wamepanga kukutana na vyombo vya habari vya nje na ndani kuwaaminisha watu kuwa Rais Samia ndio anahusika na kuteka watu .

Wanataka kuchafua image ya taifa letu lenye amani na utulivu mkubwa kwa kesi mbili tatu za kupotea kwa watu ambao hata huko nje wanatekwa na kuwawa tu .

Litakuwa ni jambo la hatari kama mlizuia maandamano ya chadema halafu mruhusu hili.

Fear of the unknown.. Hofu ya nini sasa! Wanazuia kama nani na kwa sheria gani
 
Back
Top Bottom