Tuliombe Jeshi la Polisi kuzuia mkutano huu wa TLS hapa Ubungo Plaza kuhusu watu waliopotea

Huyu mleta uzi anataka nchi watu wapelekewe matamasha ya kina zchu tuuu

Ova
 
Mwabukusi anachokitafuta atakipata! Ni swala la muda tu!!
Siyo muda we kutishana
 
Kwakuwa wewe unafurahia watu kupotezwa
 
Ubataka tusubili upotee wewe
 
Wewe jamaa mbona km unaleta uchochez usio na maana, taadifa yako inasema mkutano wa TLS na waandishi wa habari wa ndani na nje wakat TLS wenyewe wanasema mkutano wa wananchi kujadili na kutoa suluhisho juu ya Raia Tz
 

Vipi intelligensia yako kama yao imeashiria uvunjifu wa amani?
 
Kama ni image kuchafuka ilisha chafuka sana. Acha waendelee kuipasha dunia
 
Huko nje..!
Serikali zao hazizuii Wananchi wake kutoa Dukuduku, iwe Kwa Maandamano ama mikutano...!
 
Mnasema nchi haina amani,sasa nyinyi mnakutana vp wakati nchi haina amani!? Si wote mtatekwa, kama kweli hali ni mbaya sana mbona mnakutana muda wowote mnaotaka!? Acheni ubabaifu wenu na agenda zenu za siri na Mabeberu wenu,kwanza sasa hivi tuko China na Uarabuni, Mabeberu mtuache kwanza!!
 
Sijui wakuja kutukumbusha sisi watanzania ni nani maana duh!
 
samahani kwani kazi za TLS ni zipi mkuu?
 
Acha aongee hoja zake zijibiwe
 
Mnazidi kumharibia mjue
 

Je, unataka kusema kwamba Serikali haiwajibiki kwa kitu chochote kile kuhusiana na vitendo viovu utekaji watu na mauaji vinavyoendelea hapa nchini?
Unataka kusema kwamba Rais haihusiki kwa namna yoyote ile? Is it?
Vipi kuhusu Hawa Askari ambao wanaotuhumiwa kila siku kuua raia ?
Vipi kuhusu hao raia ambao wamekuwa wakifa wakiwa mikononi mwa Jeshi la Polisi katika Vituo vya Polisi ?? Nao hawamhusu?
Vipi hao mateka ambao baadhi yao wameokotwa wakiwa tayari wameuawa kinyama? Nao hawamhusu??

Akumbuke kwamba yeye binafsi akiwa Kama Mkuu wa nchi hii kwa mikono yake ndiye aliyewateua hao Viongozi wote wa Serikali hii iliyopo, wakiwamo na Wakuu wa Majeshi ambayo wa-Tanzania wanayatuhumu kwamba yamekuwa yakihusika katika kuwateka raia na kisha kuwaua. Matendo yote yanayofanywa na hao Watu Wateule wake ni sawa sawa kabisa kwamba ameyafanya yeye mwenyewe Mteuaji binafsi. Kushindwa kwa hao Watu ambao amewateua ndio kushindwa kwake yeye Mteuaji. Kwa hiyo kwa namna yoyote ile kamwe hawezi akajitenga na matendo mazuri au mabaya yanayofanywa na Wateule wake.

Aidha, hata tuhuma anazotupiwa za kuhusika na tukio la jaribio la mauaji ya Tundu Lissu kule Dodoma yeye pia tuhuma hizo zinamhusu Moja kwa Moja. Rais Magufuli siyo Mtuhumiwa pekee wa shambulizi lililofanywa dhidi ya Tundu Lissu, hata yeye pia anahusika kwa sababu Serikali ya 'MaguSami' (i.e. Magufuli+Samia) ndio iliyokuwa madarakani wakati ule tukio hilo lilipotokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…