Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
- Thread starter
- #41
Ethiopia hawakuwa na alternative ya gesi Kama sisi,Ethiopia wamezindua lao na sasa wanauza umeme Kenya! Hivi kweli sisi tushindwe namna ya kuhakikisha bwawa halikauki?
Unajua toka JPM aingie madarakani mabwawa yaliyokuwa yanakauka kila uchao hayakuwahi kukauka? We are not stupid!
Wangekuwa nayo wangekuwa mbali zaidi
Halafu wao Wana mto mkubwa wa Blue Nile, sisi Moto yetu ni midogomidogo ambayo kiangazi kikiuma kidogo tu ni shida