KERO Tulioomba kuunganishiwa Maji Moshono Arusha tunazungushwa, AUWSA wanadai hawana Mita

KERO Tulioomba kuunganishiwa Maji Moshono Arusha tunazungushwa, AUWSA wanadai hawana Mita

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
“UKOSEKANAJI WA METER ZA MAJI ARUSHA”. Tumekuwa tunapitia changamoto kubwa ya kuunganishiwa huduma ya maji Arusha kwa kisingizio kutoka AUWSA kwamba hakuna meter.

Baadhi ya Wakazi wa Moshono, Kata ambayo ipo hapahapa Arusha Mjini tumefanya malipo tangu January lakini hakuna Meter na hili kwanini lisitangazwe kama janga la taifa? Kama sisi wa Mjini ni hivyo hao wa nje ya mji hali ipoje?
 
Back
Top Bottom