Tuliopanga chumba na sebule na tuna familia na house girl, tukutane hapa.

Nunua zile redio za flash au memory card muwe mnaiweka chumbani inapiga mziki fulu time maana hazitumii umeme sana umeme ukikata battery 3 week 2 bei ya redio 15,000-20,000. Saa moja mnakula mambo tu kigodoro kidogo cha nchi 2.5 usisahau chakuweka chini
 

Laki 2??? Acha utani kuna watu mshahara ni laki 3 au 2
 
Mimi kwwnye hii nyumba niliyoipanga naskiaga mechi kibao zinachezwa usiku...
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Wa kazi nae mtaftie mwenzake jirani hapo, kama ni mechi inapigwa iwe kama kombe la dunia, kila uwanja iwe occupied
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nimecheka sana kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…