Tuliopanga chumba na sebule na tuna familia na house girl, tukutane hapa.

Tuliopanga chumba na sebule na tuna familia na house girl, tukutane hapa.

Nunua zile redio za flash au memory card muwe mnaiweka chumbani inapiga mziki fulu time maana hazitumii umeme sana umeme ukikata battery 3 week 2 bei ya redio 15,000-20,000. Saa moja mnakula mambo tu kigodoro kidogo cha nchi 2.5 usisahau chakuweka chini
 
Wakati wa kugegedana washeni redio sauti ya juu ili huyo binti wa kazi asisikie miguno ya mkeo ile ya Mmmmh Ooooh aaaassshhh taaamm hapohapooo!!!! Usitiweeeee!!! Aaaassshhh nakojoaaaaaa!!!!!

Hatari sana!!!!!

Aidha, Kwanini mpange chumba na sebule ilihali majumba ya bei rahisi yamejaa tele chamazi, mwandege, vikindu, saku, Charambe, kongowe nk?? Nyumba nzima ya vyumba vitatu unalipa 200,000 tu kwa mwezi!! Nenda huko kijana

Laki 2??? Acha utani kuna watu mshahara ni laki 3 au 2
 
Mkuu wewe wasema vyumba viwili?
Mi nilkua na chumba kimoja kikubwaa (ilkua sebule ya hiyo nyumba), nikakigawa na pazia upande wa kulala na sebule, sasa baada ya famili kuongezeka tulipata matwins ikalazimu tuwe na msaidizi, alikua ndugu yake wa age kidogo chini ya wife na ni kama rafiki ake,
Sasa ikifika saa 6 ndo mda wetu sasa na kenyewe kalishashtukia mchezo kanajifanya kulala mapemaaa ili tuanze yetu, kuna kipindi inapigwa gemu hadi tunasahau tupo na watoto, mara paaap mmoja kadondoka chini.
Kesho yake hausegirl hana mbavu mda wote kucheka tuu (hapo mi sipo wapo wao tuu home wife alikuja niambia hayo tena baada ya huyo mdada kuondoka) mke wangu kumuuliza kulikoni yeye hasemi hadi kesho yake ndio anamwambia yaliyotokea usiku wa jana yake alikua anaskia kila kitu, wife akadai angeniambia mapema angekosa mechi kumuogopa dada wa kazi, mi sijui chochote wife anajua tunapigwa chabo na dada katulia tuu.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Wa kazi nae mtaftie mwenzake jirani hapo, kama ni mechi inapigwa iwe kama kombe la dunia, kila uwanja iwe occupied
 
Umenikumbusha story Fulani.
Familia ilikuwa na watoto wawili wadogo wakufuatana ,, walikuwa na chumba kimoja kikubwa na kitanda kikubwa ambacho walilala wote watatu. Baba na mama walikuwa wakisubir watoto walale ndo wao waanze kugegedana kiuangalifu,, siku moja mechi ilikuwa Kali mpaka wakawasukuma watoto wakaanguka ikabidi mechi isitishwe wawapandishe watoto kitandani ,, basi wakatulia kama moja hiv wakahis watoto washalala tena ikabid waanze mechi upya kabla mechi haijanoga wakasikia mtoto mkubwa anamwambia mdogo wake " John jishikilie vizuri wameanza tena"
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nimecheka sana kwa kweli
 
Back
Top Bottom