Tuliopanga chumba na sebule na tuna familia na house girl, tukutane hapa.

Tuliopanga chumba na sebule na tuna familia na house girl, tukutane hapa.

wanaojulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2017
Posts
576
Reaction score
901
Kwa kweli Leo nimewaza sana baada ya Jana kulala mapema sana nikiwa na mke wangu na mtoto wangu wa miaka miwili pamoja na house girl.

Sisi wenye chumba na sebule tuna changa moto sana hasa wakati unahitajita kufanya mapenzi na mkeo wa maisha wakati huo msichana wa kazi amelala sebuleni au yuko macho Bado anaangalia Tv, na sisi wana ndoa tuko chumbani tunahamu yakufanya mambo yetu tulale mapema.

Hata aina ya vyumba vyetu ni vidogo sana kwa sisi wapangaji kuna mda unamwambia mwenzio tusubili usiku wa manane dada wa kazi alale lakini mnaweza kusubili na hamu ziko juu, pia mambo ya mapenzi yanahitaji kujiachia sana.

Je wenzangu mnao ishi kwenye chumba na sebule na dada wa kazi analala sitting room huwa mnafanyaje kutimiza haja zenu za mapenzi na wenzi wenu bila kuwa na wasiwasi labda kelele atasikia huyo dada, pia hizo faragha mnazifanya pia mda wa mchana.
 
Watu masikini kwa kujitwisha mizigo! Sasa wewe una chumba na sebure msichana wa kazi wa nini? Kwa ukubwa gani wa nyumba mlionao mpaka mahitaji msaidizi wa kazi? Siku hizi Day care kibao Sasa si bora kama mna watoto muwapeleke Day care huko wakashinde kuliko kulea mtu ambae utamlisha, utamvisha,akiugua utamuuguza na zaidi ya yote utakua na kazi ya kumchunga tabia na mshahara juu
 
Watu masikini kwa kujitwisha mizigo! Sasa wewe una chumba na sebure msichana wa kazi wa nini? Kwa ukubwa gani wa nyumba mlionao mpaka mahitaji msaidizi wa kazi? Siku hizi Day care kibao Sasa si bora kama mna watoto muwapeleke Day care huko wakashinde kuliko kulea mtu ambae utamlisha, utamvisha,akiugua utamuuguza na zaidi ya yote utakua na kazi ya kumchunga tabia
Hapa anayechangia ni mwanamke...jamaa zangu wengi wametwishwa zigo hili na wake zao.
Mimi mke wangu nae alianza kuniletea mambo haya nikamwambia kama unaleta msichana wa kazi ndani basi wewe ondoka umpishe yeye, hadi leo sijasikia tena fokorokwinyo zake.
 
Watu masikini kwa kujitwisha mizigo! Sasa wewe una chumba na sebure msichana wa kazi wa nini? Kwa ukubwa gani wa nyumba mlionao mpaka mahitaji msaidizi wa kazi? Siku hizi Day care kibao Sasa si bora kama mna watoto muwapeleke Day care huko wakashinde kuliko kulea mtu ambae utamlisha, utamvisha,akiugua utamuuguza na zaidi ya yote utakua na kazi ya kumchunga tabia
Well said madam, usikute na huyo mkewe ni mama wa nyumbani tu lakini anashindwa kufanya shughuli za nyumbani anahitaji house girl ilihali hata pakulala hawana.

Kama mke na mume wote ni Watumishi Kwanini hawapangi nyumba mzima??
 
Mkuu hizi kazi za sikuhizi mpaka saa mbili usiku bado uko ofisini unaandika ripoti na inatakiwa kwenye kikao cha kesho. Unafika nyumbani saa nne usiku. Hiyo Day Care itakayokuwa wazi saa nne usiku ipo? Dada wa kazi unampigia tu simu kuu Liza wako vipi na kumwagiza cha kupika.
 
Kwa kweli Leo nimewaza sana baada ya Jana kulala mapema sana nikiwa na mke wangu na mtoto wangu wa miaka miwili pamoja na house girl.

Sisi wenye chumba na sebule tuna changa moto sana hasa wakati unahitajita kufanya mapenzi na mkeo wa maisha wakati huo msichana wa kazi amelala sebuleni au yuko macho Bado anaangalia Tv, na sisi wana ndoa tuko chumbani tunahamu yakufanya mambo yetu tulale mapema.

Hata aina ya vyumba vyetu ni vidogo sana kwa sisi wapangaji kuna mda unamwambia mwenzio tusubili usiku wa manane dada wa kazi alale lakini mnaweza kusubili na hamu ziko juu, pia mambo ya mapenzi yanahitaji kujiachia sana.

Je wenzangu mnao ishi kwenye chumba na sebule na dada wa kazi analala sitting room huwa mnafanyaje kutimiza haja zenu za mapenzi na wenzi wenu bila kuwa na wasiwasi labda kelele atasikia huyo dada, pia hizo faragha mnazifanya pia mda wa mchana.
Wakati wa kugegedana washeni redio sauti ya juu ili huyo binti wa kazi asisikie miguno ya mkeo ile ya Mmmmh Ooooh aaaassshhh taaamm hapohapooo!!!! Usitiweeeee!!! Aaaassshhh nakojoaaaaaa!!!!!

Hatari sana!!!!!

Aidha, Kwanini mpange chumba na sebule ilihali majumba ya bei rahisi yamejaa tele chamazi, mwandege, vikindu, saku, Charambe, kongowe nk?? Nyumba nzima ya vyumba vitatu unalipa 200,000 tu kwa mwezi!! Nenda huko kijana
 
Mkuu wewe wasema vyumba viwili?
Mi nilkua na chumba kimoja kikubwaa (ilkua sebule ya hiyo nyumba), nikakigawa na pazia upande wa kulala na sebule, sasa baada ya famili kuongezeka tulipata matwins ikalazimu tuwe na msaidizi, alikua ndugu yake wa age kidogo chini ya wife na ni kama rafiki ake,
Sasa ikifika saa 6 ndo mda wetu sasa na kenyewe kalishashtukia mchezo kanajifanya kulala mapemaaa ili tuanze yetu, kuna kipindi inapigwa gemu hadi tunasahau tupo na watoto, mara paaap mmoja kadondoka chini.
Kesho yake hausegirl hana mbavu mda wote kucheka tuu (hapo mi sipo wapo wao tuu home wife alikuja niambia hayo tena baada ya huyo mdada kuondoka) mke wangu kumuuliza kulikoni yeye hasemi hadi kesho yake ndio anamwambia yaliyotokea usiku wa jana yake alikua anaskia kila kitu, wife akadai angeniambia mapema angekosa mechi kumuogopa dada wa kazi, mi sijui chochote wife anajua tunapigwa chabo na dada katulia tuu.
 
Mkuu hizi kazi za sikuhizi mpaka saa mbili usiku bado unaandikavripoti na inatakiwa kwenye kikao cha kesho. Unafikiria nyumbani saa nne usiku. Hiyo Day Care itakayokuwa wazi saa nne usiku ipo? Dada wa kazi unampigia tu simu kuu Liza wako vipi na kumwagiza cha kupika.
Mke na mume wawe wanaingiza kipato alafu mpange chumba na sebure tu? Haiwezekani yaani hata mke akiwa mama ntilie basi wangetafuta hata vyumba vi 2 na sebure uswahilini wakakaa kwa nafasi japo kidogo! Ninachokiona hapa ni uvivu tu wa malezi hakuna cha saa 4 usiku wala nini
 
Well said madam, usikute na huyo mkewe ni mama wa nyumbani tu lakini anashindwa kufanya shughuli za nyumbani anahitaji house girl ilihali hata pakulala hawana.

Kama mke na mume wote ni Watumishi Kwanini hawapangi nyumba mzima??
Hata Mimi inanishangaza kwa kweli,yaani watu wenyewe ni masikini wanaongeza na umasikini mwingine wa kulipa mtu mshahara,si uchizi huo
 
Mkuu hizi kazi za sikuhizi mpaka saa mbili usiku bado unaandikavripoti na inatakiwa kwenye kikao cha kesho. Unafikiria nyumbani saa nne usiku. Hiyo Day Care itakayokuwa wazi saa nne usiku ipo? Dada wa kazi unampigia tu simu kuu Liza wako vipi na kumwagiza cha kupika.
Tatizo kubwa wanawake wengi hawana msaada kwenye kushare matumizi ya kulea familia bado wamekariri hilo ni jukumu la mwanaume.

Kama wote wawili mna vijikazi vya kusogeza siku sidhani kama mnashindwa kupata walau apartment ya vyumba viwili na sebule na kitchen au hata vyumba 3.

Tatizo nimeliexperince wanawake wengi ingawa siyo wote ni selfish sana hawana msaada wa kuchangia kipesa kwenye familia.

Huyohuyo mnayekaa naye chumba na sebule usishangae kukuta kwao anajenga.
 
Back
Top Bottom