Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,700
- 6,825
Bila kadi vijana hawapati ajira, maendeleo hayana chama.Nashukuru nilisoma na kuhitimu zamani sana kabla uvccm haijawa kigezo cha kuajiriwa serikalini hasa ajira la ualimu
Huyu mwamba atakula mshahara mrefu SanaKuna mtu kaajiriwa mara 96.
Anyway Kila la kheri.tunaishukuru serikali kwa hatua hiii japo wengi tumekosa Na Sasa tunaingia mtaani rasmi.
Kupanga Ni kuchagua
abdlah ikua jina lake limejirudia tu sababu ni la mwanzo A so kule kote watadelete.no type errorHuyu mwamba atakula mshahara mrefu Sana
Wacha niringe na ualimu wanguManeno mengi utafikiri wewe ndiyo wakwanza kuajiriwa tena kazi yenyewe ualimu duh!!
Ina maana hawajui kutumia Excel?abdlah ikua jina lake limejirudia tu sababu ni la mwanzo A so kule kote watadelete.no type error
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti eeh Sasa shika peni na karatasi uanze kuhesabu watakaoanza kuacha na kukimbia huko poriniHizi ajira uombaji wake wala haukuzingatia chama
Mimi niliwajazia watu 30+
Mpaka sasa nimeconfirm 26 wamepata bado nawafatilia wengine waliobaki
Kitu ambacho niliiuwa nafanya Nlikuwa nawachagulia mashile ya porini ambalo binadamu hawez kuishi maeneo mabaya mikoa ilosahurika
Mbinu hii imefanikisha niliowajazia wengi kupata
Hakuna niliyemchagulia Dodoma moro dar sijui kama ni rukwa sikujazii mjini pale niliwajazia kwenye mauchawi Huko panapoogopeka ambapo ushindani wa huku unakuwa mdogo
Wengi waliokosa ukifatilia walijaza maeneo ambayo ushindani ni mkubwa
Huyu ni mtaalam wa kujaza na computer....Walimu 30 waliojaziwa na jamaa shule za maporini π π hii nchi kwa siasa.Eti eeh Sasa shika peni na karatasi uanze kuhesabu watakaoanza kuacha na kukimbia huko porini
Hao wote walipats hizo kazi Ni UVCCMUchama wa nini kwenye ajira ya kiutumishi ??
kama ukiusoma uzi huu neno kwa neno, basi utaelewa nini nimemaanishaKaribu kwenye utumishi wa Umma
Nakumbuka ulikuwa unashangaa walimu kuulizia matokeo ya darasa la 7, basi nadhani sasa utaelewa.
Mtu kapelekwa idende makete huko,huko jamaa ni warogi balaaEti eeh Sasa shika peni na karatasi uanze kuhesabu watakaoanza kuacha na kukimbia huko porini