Bambushka
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 3,940
- 7,227
Kila siku teacher analala ndani anaamka asubuhi yupo nje kwenye umande 😀Mtu kapelekwa idende makete huko,huko jamaa ni warogi balaa
Everyday is Saturday................................😎
Kila siku teacher analala ndani anaamka asubuhi yupo nje kwenye umande 😀Mtu kapelekwa idende makete huko,huko jamaa ni warogi balaa
Nimekusoma vizuri mwalimukama ukiusoma uzi huu neno kwa neno, basi utaelewa nini nimemaanisha
Hizi ajira uombaji wake wala haukuzingatia chama
Mimi niliwajazia watu 30+
Mpaka sasa nimeconfirm 26 wamepata bado nawafatilia wengine waliobaki
Kitu ambacho niliiuwa nafanya Nlikuwa nawachagulia mashile ya porini ambalo binadamu hawez kuishi maeneo mabaya mikoa ilosahurika
Mbinu hii imefanikisha niliowajazia wengi kupata
Hakuna niliyemchagulia Dodoma moro dar sijui kama ni rukwa sikujazii mjini pale niliwajazia kwenye mauchawi Huko panapoogopeka ambapo ushindani wa huku unakuwa mdogo
Wengi waliokosa ukifatilia walijaza maeneo ambayo ushindani ni mkubwa
Acha wivu,Maneno mengi utafikiri wewe ndiyo wakwanza kuajiriwa tena kazi yenyewe ualimu duh!!
Ni mpango wa maksudi? waliwezeje kutoa public bila kuona ilo?abdlah ikua jina lake limejirudia tu sababu ni la mwanzo A so kule kote watadelete.no type error
Sent using Jamii Forums mobile app
Linaonekana kosa kubwa ila sio.Ina maana hawajui kutumia Excel?
Wanapaswa waajiri mtu atakayeweza kuitumia, sio kuonyesha ujinga na udenzi hadharani.
Na ndiyo maana nimejiuliza sana kuwa hawajui kutumia Excel?Linaonekana kosa kubwa ila sio.
Walikosea kwenye setting za printing ikaingia kama repeating row.
👆 🥱🥱🥱☹️Pia nikipongeze chama chetu cha CCM, kwani kimetupigania sana sisi vijana wake kupitia UVCCM kuhakikisha tunazipata ajira hizi
Acha kitudharau,na kudharau kazi yetu, mwenyewe umetoka mikononi mwetu!Maneno mengi utafikiri wewe ndiyo wakwanza kuajiriwa tena kazi yenyewe ualimu duh!!
Kwani nyie wenzetu mlikuwa na vigezo gani vya ziada ambavyo sie wengine hatuna?!.kwa maana kila nikituma maombi naambulia patupu kudadeki na kila kitu ninacho..au nina gundu kali sana!
Hata mimi pia niliomba vijijini kabisa yaani,ila nahisi tu sina bahati ngoja nijaribu mipango minginePole sana mkuu,
binafsi nafikiri
kwanza kipaumbele kinakua kwa waalimu wa masomo ya sayansi, kilimo, na biashara (maana soko halina bidhaa hizi)
Pili kwa waalimu waliosomea masomo ya wanafunzi wa mahitaji maalum ( wanafunzi wenye ulemavu mbalimbali)
Tatu kwa waalimu wanaoomba shule za nje ya miji ambako hakuna kabisa ushindani
Sasa unakuta idadi kubwa ya waombaji wanaomba mijini tu, hapo ndipo changamoto ya gombania goli inapotokea.
Kwa walioomba shule za vijijini wengi wamepata.
Mkuu wewe haukuomba huko interior?Afadhali we umepata mkuu mi sijapata