Cogito ergo_sum
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 1,648
- 2,930
Acha WIVU
Wivu wa nini Sasa?
Acha WIVU
Mmbona mm nilijaza eneo interior kabisa kama unapajua mbingun ( sasa mbele yake kidogo ) lkn bado nikakosa😇🤕Hizi ajira uombaji wake wala haukuzingatia chama
Mimi niliwajazia watu 30+
Mpaka sasa nimeconfirm 26 wamepata bado nawafatilia wengine waliobaki
Kitu ambacho niliiuwa nafanya Nlikuwa nawachagulia mashile ya porini ambalo binadamu hawez kuishi maeneo mabaya mikoa ilosahurika
Mbinu hii imefanikisha niliowajazia wengi kupata
Hakuna niliyemchagulia Dodoma moro dar sijui kama ni rukwa sikujazii mjini pale niliwajazia kwenye mauchawi Huko panapoogopeka ambapo ushindani wa huku unakuwa mdogo
Wengi waliokosa ukifatilia walijaza maeneo ambayo ushindani ni mkubwa