Tuliopata ajira za ualimu 27 Novemba 2020 tukutane hapa

Tuliopata ajira za ualimu 27 Novemba 2020 tukutane hapa

Pole mkuu. Labda 2025 watatoa tena ajira za walimu hata 500 wapiganie huko vijijini.
Aah mi nafanya mambo mengine toka 2015 mzeebaba wakitangaza natuma maombi,yakija majina nakula za uso,sasa sijui maombi yangu hawayaoni,sijui wanayaona halafu wanayapotezea🤣🤣😁
 
Hata mimi pia niliomba vijijini kabisa yaani,ila nahisi tu sina bahati ngoja nijaribu mipango mingine

Mkuu usikate tamaa, katibu mkuu alisema kanzudata/kanzidata (sijui kama nimepatia ) wanayo majina mengi mno yanye sifa na vigezo ila nafasi ndio hazitoshi.

Na obviously kuna watu wamepangwa ambako hawapataki so subiri tu kuna watu hawataripoti kwenye vituo vyao na nafasi zao zitajazwa na ambao hawajapangiwa.
 
Aah mi nafanya mambo mengine toka 2015 mzeebaba wakitangaza natuma maombi,yakija majina nakula za uso,sasa sijui maombi yangu hawayaoni,sijui wanayaona halafu wanayapotezea[emoji1787][emoji1787][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tafuta kadi ya kijani ile chap tuu utakuwa unafuta ubao na kukamata wachelewaji.
 
Inasikitisha kuona miezi mitatu yote wanaleta kitu hiki
 
Hizi ajira uombaji wake wala haukuzingatia chama

Mimi niliwajazia watu 30+

Mpaka sasa nimeconfirm 26 wamepata bado nawafatilia wengine waliobaki


Kitu ambacho niliiuwa nafanya Nlikuwa nawachagulia mashile ya porini ambalo binadamu hawez kuishi maeneo mabaya mikoa ilosahurika
Mbinu hii imefanikisha niliowajazia wengi kupata

Hakuna niliyemchagulia Dodoma moro dar sijui kama ni rukwa sikujazii mjini pale niliwajazia kwenye mauchawi Huko panapoogopeka ambapo ushindani wa huku unakuwa mdogo

Wengi waliokosa ukifatilia walijaza maeneo ambayo ushindani ni mkubwa
Yani nisome hadi chuo et nihangaike na ajira ya mshahara wa laki 8 uko uchawini. Ni bora nikawe mma ntilie stendi ya dodoma.
 
Yani nisome hadi chuo et nihangaike na ajira ya mshahara wa laki 8 uko uchawini. Ni bora nikawe mma ntilie stendi ya dodoma.
Watt wa kishua mmezoea kudekezwa Ni kweli kbsa huwez kufanya kaz vijijin
 
20201128_193406.jpg


Mwambaa
 
Kila siku teacher analala ndani anaamka asubuhi yupo nje kwenye umande 😀

Everyday is Saturday................................😎
acha dharau kazi ya ualimu ni kazi nzuri sanaa binafsi naipenda. huwezi linganisha na hizo kazi mnazofanya kwa wahindi
 
acha dharau kazi ya ualimu ni kazi nzuri sanaa binafsi naipenda. huwezi linganisha na hizo kazi mnazofanya kwa wahindi
Uwe unasoma mtiririko na kuelewa, siyo kukurupuka, niliyemjibu kanielewa.

Wapi nimemdharau mwalimu?? Hujui kuna vijiji walimu wanachawiwa wanalala ndani ila wakishtuka wamelazwa nje ya nyumba wanapigwa baridi?? Au wanaamka wamenyolewa nywele??

Everyday is Saturday................................😎
 
Uwe unasoma mtiririko na kuelewa, siyo kukurupuka, niliyemjibu kanielewa.

Wapi nimemdharau mwalimu?? Hujui kuna vijiji walimu wanachawiwa wanalala ndani ila wakishtuka wamelazwa nje ya nyumba wanapigwa baridi?? Au wanaamka wamenyolewa nywele??

Everyday is Saturday................................😎
Sasa habari za uchawi si kawaida mkuu, mahali popote kuna uchawi, hata Dar penyewe pana uchawi.
 
kuna watu wamepangiwa kuipata ATM ukachukue mshahara ni ubungo na morogoro alafu barabara ya vumbi mixer hakuna network
 
Kuna mtu alikuwa anasema ati connection zimehusika ndo maana wengi hawakupata.
 
Huyu jamaa hata sio sehemu ya walimu walio pata ajira huyu ametumia fasihi kufikisha ujumbe
 
Mkifika huko halmashauri kujaza mikataba jaza anwqni na sehemu ya mbalibsana kwenye makazi ya kudumu ili likizo uwe unakunja mkwanja mrefu.
Mfano umepangiwa mtwara, kwenye kujaza mkataba wa ajira jaza makazi yako ya kudumu NGARA KAGERA.
UTAKUJA NIKUMBUKA
 
Habari Watanzania wenzangu

uzi huu ni maalumu kwa walimu tuliopata ajira za serikali zilizotangazwa tarehe 27 novemba 2020

Napenda kumshukuru rais wa awamu ya tano, rais wa wanyonge, rais wa masikini, rais msikivu, rais anayeahidi na kutekeleza...Asante sana rais kwa ajira hii..
Kwa hakika sitakuangusha nakuhidi utendaji kazi uliotukuka

Pia nikipongeze chama chetu cha CCM, kwani kimetupigania sana sisi vijana wake kupitia UVCCM kuhakikisha tunazipata ajira hizi

Wanajf,, napenda kutumia nafasi hii pia kuwakaribisha mkoani Mtwara kwa wamakonde, wanyeji wa huko naomba ukarimu wenu tafadhali
Nianze kwa kukupa pole, Nashangaa sana kuona unashadadia eti kupata ajira, Kama kuna kitu unatakiwa kusikitikia ni kitu kinachoitwa Kazi ya Kuajiriwa, hasa Ajira za kwenye nchi yetu hii chini ya utawala wa ccm, hakuna watu wana matatizo ya maisha kama wafanyikazi (watumishi), hawa ndio watu ambao wanaishi kwa madeni maisha yao yote, kwa malipo (mishahara) wanayolipwa humfanya mtu kuwa na shida muda wote, madeni na maikopo ndio maisha yao ya kila siku, wewe unakuja hapa unaandika eti tukutane hapa !!m yaani unashangilia kuingia matesoni, ?, Kuajiriwa kwenye nchi hii ni kukubali kuwa fukara na maskini, usitarajie kupata ahueni yeyote, kati ya waajiriwa 100 ni chini ya asilimia 10 yao ndio huweza kuwa na ahueni ya maisha, waliobaki ni shida, kuajiriwa ni kosa la kwanza ambalo mtu hulifanya katika maisha, bahati mbaya sana ukishaajiriwa tu huwezi kuacha, ndio maana utakuta mzee anastaafu baada ya muda mfupi anaenda kutafuta kazi nyingine kama ya Ukorokoroni, hapoa ulipo unatakiwa ujiandae, kwani utatakiwa ufanye kazi hiyo kwa miaka 30 au zaidi ijayo ili uweze kuwa na sifa ya kupata malipo yako ya kustaafu, kazi ya kuajiriwa ni ngumu ndio mnaana ina malipo ya mwisho yanayoitwa kiinua mgongo, ambayo serikali dhalimu ya ccm imeamua kuyawekea urasimu na ukiritimba kwamba mtu hawezi kuyapata malipo hayo hata pale anapokuwa ameacha kazi eti mpaka afikishe umri wa miaka 60 napo hapewi yote bali anapewa 30% na asilimia inayobaki anakuwa analipwa kidogokidogo, nimeona waajiriwa wengi wakishindwa kujenga nyumba za kuisha mpaka wanapofikia umri wa kustaafu ndio huvizia mafao yao ya mwisho ili wajenge au wamalizie ujenzi wa nyumba zao, wakati mtu akianzisha biashara ndani ya miaka 5-10 anakuwa amejitengenezea maisha angalau yanayokubalika, hana kusubiri kustaafu, halafu wewe unafurahia kuajiriwa, sisi tulisha umizwa na hili eneo, utakumbuka maneno haya baada ya miaka 30-40 ijayo, leo bado kijana huwezi kuelewa, nikwambie tu kwavile bado una nguvu, fanya kazi kwa bidii ujiandae kuacha hiyo kazi ukatafute shughuli binafsi ya kufanya, wanafurahia Kazi za kuajiriwa wenzetu huko Nchi zenye Utawala Bora na zilizoendelea Ulaya na marekani, mtu akiajiriwa analindwa na kazi yake lakini pia anaheshimiwa sio hapa Bongo, Miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na nafuu, wafanya kazi waliheshimika, walimu na madaktari walikuwa na heshima mbele ya jamii, sasa hivi mwalimu anachanganyikana na walevi wa gongo, daktari anachapwa viboko na DC, Kazi ya kuajiriwa kwenye nchi hii imekuwa kama laana, bahati mbaya sana hakuna njia mbadala, sio hii serikali ya ccm ambayo inasema inataka hela za mifuko ya hifadhi za jamii kufanyia shughli za maendeleo, mnatakiwa mkutane kupeana Pole
 
Back
Top Bottom