Tuliopitia Vita Na Chuki Makazini Tushirikishane Hapa

Kiufupi waafrika hatupendani kuna ile story ya HR wa barrick gold mine kuwalipa pesa kiduchu wafanya kazi licha ya management kuidhinisha pesa kubwa ila HR alikataa akasema kama hawataki tutaleta wengine ndio utajua wabongo jinsi tulivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mtanzania ni mbwa mwitu kabisa ,
 
Hahaaaaaa....
Walimwaga mboga ukatoboa sufuria hahaaa
Ulimwambiaje bosi hahaaa sipati picha yaani vile unaanza "...bosi ni kweli lakini na fulani na fulani'
Hahaaa
Aaaaa wapi,tarifa zilivuja Toka kwa HR kuwa barua iko mezani ya kwangu,nikakubali kuunda urafiki na adui yangu wa zamani ili nipate voice note.na kweli nikazipata na kuzimwaga hewani jinsi wavyotia kampuni hasara,Tena kwao jambo lilikuwa kubwa kweli nusraa mtu apewe jezi.
 
Wewe Ni noma😅
 
mmesahau jingine. kurogana makazini ili kupanda vyeoo. dah watu wanaroga jamani we acha tu. ukiwaona sasa juma pili na wengine msikitini utdhani wemaaaa.
Usimuamini mtu na pia anayekuroga ujue kuna vitu anafahamu kuhusu wewe hivyo ndo huleta chuki na husda.

Usiruhusu mtu akufahamu kilichokupeleka pale ni uwezo wako sio watu.
 
Sinaga mazoea kbs mpk one time nikaitwa na boss eti kapata malalamiko sisalimii watu. Mi nikamuuliza hao wanaosema siwasalimii huwa nakutana nao wapi? Waliwahi kunisalimia nikashindwa kuitikia??? Kama hakuna majibu basi ni mwendelezo wa unafiki tu.

Nina mipaka ambayo kiasi kwamba mtu akitaka kuniambia jambo mpk anawaza atanianzaje, kuna siku workmate mmoja alinikuta sehem na school mate wangu tunapiga story na kucheka mpk alishangaa akaniuliza kumbe huwa nacheka.
 
Duh nimesoma comment zote bila uchovu..kuna vitu vingi najifunza kuhusu maeneo ya kazi kuna taasisi naona ni bora iongezewe majukumu kuliko kujikita kwenye afya na usalama mahala pa kazi basi ifikie ba huku..
Wizara ya afya haina uwezo wa kukomesha roho chafu, umbea, majungu na ushenzi
 
Sinaga mazoea kbs mpk one time nikaitwa na boss eti kapata malalamiko sisalimii watu. Mi nikamuuliza hao wanaosema siwasalimii huwa nakutana nao wapi? Waliwahi kunisalimia nikashindwa kuitikia??? Kama hakuna majibu basi ni mwendelezo wa unafiki tu.

Nina mipaka ambayo kiasi kwamba mtu akitaka kuniambia jambo mpk anawaza atanianzaje, kuna siku workmate mmoja alinikuta sehem na school mate wangu tunapiga story na kucheka mpk alishangaa akaniuliza kumbe huwa nacheka.
Kwanza Nani Mwenye Wajibu wa kumsalimia mwingine? Jibu ni hakuna
 
Kiufupi waafrika hatupendani kuna ile story ya HR wa barrick gold mine kuwalipa pesa kiduchu wafanya kazi licha ya management kuidhinisha pesa kubwa ila HR alikataa akasema kama hawataki tutaleta wengine ndio utajua wabongo jinsi tulivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee bongo hatarii na HR huwa hawakubali mshahara kuongezwaa hasa kampuni za bongooo ni balaaa... Ukiomba nyongezaa jiandae kutafuta kazi kwingine
 
Back
Top Bottom