Tuliopitia Vita Na Chuki Makazini Tushirikishane Hapa

ukiwa kazini ili usigombane na wenzio
  1. usimsimulie mtu kitu chako
  2. usimwambie mfanyakazi mwenzako mambo uliyoambiwa kuhusu yeye
  3. salimia na response vitu hata kama nj uongo usibishebishe (kuna wengine wa chai ukiwabishiabishia watakuchukia)
  4. usimtongoze wala kutoka kimapenzi na mfanyakazi mwenzio (italeta shida mkiachana)
 
This is 💯 true
 
Kwenye harakat lazima uchague washkaj wa kushirikiana nao kwa sabab si kila unayefanya nae kazi basi ni mshkaj wako na kukaa bila tug lazima ufeli

Nilianza kibarua kwa malipo ya 18k kila ijumaa tena jamaa walikua wanatoa pesa mpyaaaaaa

Lkn licha ya kulipwa posho ndogo hivyo lkn bado tulifanyiwa nongwa na walioajiriwa

Ilifikia kipind tulikua tunapewa malori tena yenye matatizo ya suspension ili tukose cha kuiba,walikua wanataka waibe wao tu

Tuliwaacha hoi siku hiyo nilijifunga leaf spring za land kruza mizigo miwili na shockup nne na jamaa yangu alijifunga coil spring nne na shockup zake
 
😅😅😅😅🖖🏾
 
Ninakuelewa kuwa unataka kuzungumzia juu ya vita na chuki katika eneo la makazi. Vita na chuki ni mada ngumu na yenye athari kubwa kwa watu wote waliohusika. Hata hivyo, ningependa kusisitiza kwamba mimi ni programu ya kompyuta na sina uzoefu wa moja kwa moja wa vita au chuki makazini. Naweza kutoa habari kwa ujumla kuhusu masuala haya, lakini ni muhimu kutambua kuwa maoni yangu yanategemea tu data na habari niliyojifunza hadi mwaka 2021.

Vita katika eneo la makazi ni hali ambapo kundi au makundi ya watu wanaendeleza uhasama, ugomvi, au vurugu ndani ya eneo lao la makazi. Vita kama hizi zinaweza kuwa na sababu mbalimbali, kama vile tofauti za kikabila, kidini, kisiasa, au kiuchumi. Mara nyingi, migogoro ya makazi inaweza kuwa na athari kubwa kwa watu wanaoishi katika eneo hilo, ikijumuisha vifo, majeruhi, na uharibifu wa mali.

Chuki katika eneo la makazi inahusu hisia hasi, ubaguzi, au uhasama kati ya watu wanaoishi katika eneo hilo. Chuki inaweza kuchochewa na tofauti za kikabila, kidini, kijamii, au kitamaduni. Inaweza kuwa na athari mbaya kwa ushirikiano wa kijamii, kuharibu uhusiano na kusababisha hali ya kutokuaminiana na hofu.

Ni muhimu kutafuta njia za kuzuia vita na chuki makazini ili kuendeleza amani na ushirikiano. Hii inaweza kujumuisha kuhamasisha mazungumzo ya kina na ufahamu wa kusikiliza kwa pande zote, kukuza uvumilivu na kuheshimiana, kuboresha mifumo ya sheria na haki, na kushirikiana katika shughuli za kujenga jamii. Elimu na uelewa juu ya tofauti za kijamii na utamaduni pia zinaweza kuchangia kujenga mazingira ya amani na ushirikiano.

Ni muhimu kutafuta suluhisho za amani na kujenga umoja katika jamii zetu. Njia bora ya kufanya hivyo ni kwa kushirikiana kwa uwazi, kusikilizana kwa makini, na kujitolea kwa mazungumzo yenye lengo la kutafuta suluhisho la kudumu.
 
😅🖖🏾
 
Hapo cool blue yule jamaa anayekuletea maji ana bosi Supervisor, ana boss mkuu wa idara ya Sales na ana boss mkuu wa kampuni.

Au serikalini ulipo haipo hivi?
Mkuu castr weka avatar picha la sivyo nita kublackmail kwa kuchakachua juis yako pendwa ya maembe Azam.
 
Yani ni mumwomba mungu tu mkuu... Hizi sehemu sio salama hata ukionekana unaujuzi ambao unaweza haribu ugali wa mtu
 
Back
Top Bottom