Yaani mtanzania ni mbwa mwitu kabisa ,Kiufupi waafrika hatupendani kuna ile story ya HR wa barrick gold mine kuwalipa pesa kiduchu wafanya kazi licha ya management kuidhinisha pesa kubwa ila HR alikataa akasema kama hawataki tutaleta wengine ndio utajua wabongo jinsi tulivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wame nanihii alafu mtu anaogopa tumbo π[emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1]mimba ingempenda baba mtoto sasaa...ingekua shida
Aaaaa wapi,tarifa zilivuja Toka kwa HR kuwa barua iko mezani ya kwangu,nikakubali kuunda urafiki na adui yangu wa zamani ili nipate voice note.na kweli nikazipata na kuzimwaga hewani jinsi wavyotia kampuni hasara,Tena kwao jambo lilikuwa kubwa kweli nusraa mtu apewe jezi.Hahaaaaaa....
Walimwaga mboga ukatoboa sufuria hahaaa
Ulimwambiaje bosi hahaaa sipati picha yaani vile unaanza "...bosi ni kweli lakini na fulani na fulani'
Hahaaa
Hata watu wa mbeya wanapendana wao tu. ..my intake nikua waliowengi hawana exposure. ..wametoka mikoaji nakuja mjini unakuta hawana chazaidi and they think wanajua kilakitu. ..hatari sanaUsiombe ofc iwe na hao wawili... mmoja lazima ang'oke!!
Ni naona wabongo wengi tu wana hulka za kisenge ,umasikini wa akili na mali ,roho mbaya ,ushamba na ulimbukeni .Kaka ujakutana na wafipa nadhanii.....
Wewe Ni nomaπAaaaa wapi,tarifa zilivuja Toka kwa HR kuwa barua iko mezani ya kwangu,nikakubali kuunda urafiki na adui yangu wa zamani ili nipate voice note.na kweli nikazipata na kuzimwaga hewani jinsi wavyotia kampuni hasara,Tena kwao jambo lilikuwa kubwa kweli nusraa mtu apewe jezi.
Exposure,l.Hata watu wa mbeya wanapendana wao tu. ..my intake nikua waliowengi hawana exposure. ..wametoka mikoaji nakuja mjini unakuta hawana chazaidi and they think wanajua kilakitu. ..hatari sana
Usimuamini mtu na pia anayekuroga ujue kuna vitu anafahamu kuhusu wewe hivyo ndo huleta chuki na husda.mmesahau jingine. kurogana makazini ili kupanda vyeoo. dah watu wanaroga jamani we acha tu. ukiwaona sasa juma pili na wengine msikitini utdhani wemaaaa.
Wizara ya afya haina uwezo wa kukomesha roho chafu, umbea, majungu na ushenziDuh nimesoma comment zote bila uchovu..kuna vitu vingi najifunza kuhusu maeneo ya kazi kuna taasisi naona ni bora iongezewe majukumu kuliko kujikita kwenye afya na usalama mahala pa kazi basi ifikie ba huku..
ππΏπ§’Usimuamini mtu na pia anayekuroga ujue kuna vitu anafahamu kuhusu wewe hivyo ndo huleta chuki na husda.
Usiruhusu mtu akufahamu kilichokupeleka pale ni uwezo wako sio watu.
Kwanza Nani Mwenye Wajibu wa kumsalimia mwingine? Jibu ni hakunaSinaga mazoea kbs mpk one time nikaitwa na boss eti kapata malalamiko sisalimii watu. Mi nikamuuliza hao wanaosema siwasalimii huwa nakutana nao wapi? Waliwahi kunisalimia nikashindwa kuitikia??? Kama hakuna majibu basi ni mwendelezo wa unafiki tu.
Nina mipaka ambayo kiasi kwamba mtu akitaka kuniambia jambo mpk anawaza atanianzaje, kuna siku workmate mmoja alinikuta sehem na school mate wangu tunapiga story na kucheka mpk alishangaa akaniuliza kumbe huwa nacheka.
Hata wiazara yetu ya mpwayungu hivyohivyo.kumejaa utombotombo mwingi sanaWizara ya afya haina uwezo wa kukomesha roho chafu, umbea, majungu na ushenzi
Unakuta mtu ana degree kumbe Research paper ali download na ku edit πHata wiazara yetu ya mpwayungu hivyohivyo.kumejaa utombotombo mwingi sana
Ulipata kazi wakati bado balehee ni kali sanaa[emoji1][emoji1]Mm wakat naanza kazi nilikuwa namla bosi nlchokuja kukosea et nkaajatoka na Staffmates nkawa nkagonga wote,,, bhana bhn msijaribu hii michezo makazini... Nlchukiwa na bos na kunyimwa kla aina ya fursa mpk nliomba uhamisho mwenyewe
Aiseee bongo hatarii na HR huwa hawakubali mshahara kuongezwaa hasa kampuni za bongooo ni balaaa... Ukiomba nyongezaa jiandae kutafuta kazi kwingineKiufupi waafrika hatupendani kuna ile story ya HR wa barrick gold mine kuwalipa pesa kiduchu wafanya kazi licha ya management kuidhinisha pesa kubwa ila HR alikataa akasema kama hawataki tutaleta wengine ndio utajua wabongo jinsi tulivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
π π π πAiseee bongo hatarii na HR huwa hawakubali mshahara kuongezwaa hasa kampuni za bongooo ni balaaa... Ukiomba nyongezaa jiandae kutafuta kazi kwingine
Nilitaka nikomenti hivihivi lkn nikaona ametotoa sbb za kitoto,watu wanamjaza mwanafunzi mimba na hawakimbiiUlipata kazi wakati bado balehee ni kali sanaa[emoji1][emoji1]