Tuliopitia Vita Na Chuki Makazini Tushirikishane Hapa

Hili lilokutokea limenitokea na mimi katika mazingira hayo hayo ilikuwa Health Center. Piga kazi sana mabosi wanaelewa kazi, na ushauri nini cha kufanya kuongeza mapato. Punde si punde majungu yakaanza, sasa walichokosea wale mabosi kwanza walikuwa sio watanzania na hawakupata mshauri mzuri wa kuwashauri jinsi ya kuterminate mikataba. Wao wakanipa termination kwa mihemko yao kilichofuata hadi leo hawana hamu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mimi nilienda CMA nikafungua shauri ni claim 21M Kwa kuvunjiwa mkataba ila nikapata guardian angel mmoja akanishauri "Mr (jina langu) you are too young to make enemies"

Bas baada ya pale nikamsamehe mmatumbi yule nikaendelea kupambana na maisha nashukuru Mungu sikuwahi pungukiwa pia nikafanikiwa kuishi bila ajira yotote rasmi kwa miaka miwili mfululizo nikifanya deal zangu mtaani
 
Sasa shida ilikuwa ni nini bruh 😁
Boss alikua Mmama, mimi nilikua upande wa admini na kacheo flani, mdada alikua wafanyakazi wa chini, Wakati penzi linashamiri Boss aligundua na alimwita huyo mdada akamwonya hataki umalaya kazini kwake. Mdada akaja kuniambia nikaanza kumpunguza. Kumbe naye akaelewa somo akanitegeshea mimba, akawa proud na hali hiyo.
Nikawa na mawazo sanaa. Utendaji kazi ukapungua. Baada ya rumours nyingi kunihusu mimi. Yaani ukikatiza hivi vijimaneno haviishi. Siku nikaandika tu resignation letter.
 
Ni naona wabongo wengi tu wana hulka za kisenge ,umasikini wa akili na mali ,roho mbaya ,ushamba na ulimbukeni .
Hiki ndio chanzo cha roho mbaya na chuki huko makazini
Nope kaka nakataq hata wazungu wanafanyiziana mkuu huko...tena sijui bara la Asia iko vipi huko....
 
Sio kweli hakuna watu wako peace kama wafipa,mm nafanya kazi unyakyusani Cha moto nakiona mm Nina upendo na Kila mtu lkn hii mijamaa imezidi ukabila na roho mbaya.
Hawa wapumbavu ni wabaguzi sijapata ona.
Basi itoshe kusema ni hulka sometimes binafsi...hasa kama anaeshika wenzie masikio ana itikadi hizo za kingese
 
Vipi uliwachomoa Milion ngapi???[emoji1787][emoji1787]
 
Asehhh...pole sana watu walikupiga sayansi ya kiutamaduni ukasarenda
Nikweli mkuu alipigwa Sayansi jamii akaanza kuichukia kazi na ulisha acha kazi akili ndiyo inarudi kwanini nimeacha kazi, wafanyakazi maofisini wanapenda sana kutumia huu Uswahili kama unawasumbua kazini.
 
Wanyakyusa hawana shida kabisa. Mimi ni mnyakyusa nafanya kazi kaskazini yaani natamani kurudi nyumbani tu maana hawa watu wa kaskazini especially wachaga wana roho chafu sana yaani itoshe tu kusema haya mashetani ni ma mbwa kabisa
Ni kweli yani wabaya sanaa yani ukute yana fanya kazi kampuni za wazungu, Yani yatanyanyasa wafanyakazi na kudhurumu haki zao ili kumpa faida mzungu, Nilikuwa nafanya kazi kampuni ya Mzungu sasa Mzungu ikayumba kiuchumi mzungu akaruhuru baadhi ya wafanyakazi tulipwe stahiki zetu tuondoke kazini, Sasa bahati mbaya HR wetu alikuwa mchaga akaanza kumfundisha mzungu jinsi ya kutupunja malipo yetu uku mzungu alikuwa kakubali kutulipa mapesa mengi, Mchaga kuona mzungu atatulipa mapesa mengi roho ikamuuma kama kampuni ya kwake.
 
Huyo HR mchaga aliwazidi akili ninyi nyote..kwa maana mlikuwa mnawaza kulipwa mihela mkimbie na wakati mwenzenu anawaza kubana matumizi ili kampuni ivuke kwenye kipindi kigumu [emoji23]...ila hujamalizia story kama mzungu alikubali ushauri wa mchaga au la....
 
Hulka za haters na wazandiki utazikuta Kila eneo la kupatia riziki. Ni vile tu Mungu hutulinda otherwise ni ngumu ku survive mbele za watu wa ngozi nyeusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…