Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Kutongozana kazini inaharibu sana1.Usiwe na rafiki wa kazini...
2.Usiwe na mpenzi kazini...
3.Usiwe mmbea...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutongozana kazini inaharibu sana1.Usiwe na rafiki wa kazini...
2.Usiwe na mpenzi kazini...
3.Usiwe mmbea...
We acha tu mkuu. Yaani unafikia wakati ukiingia Ofisini watu wote kimyaa utafikiri ni gaidi ameingiaHaya mambo kama hayajawahi kufika unaweza kuona ni madogo. Ila kiujumla unaweza hata ona kazi haina maana kabisa
Jambo la Msingi nililojifunza ni PRIVACY& CONFIDENTIALITY Ni muhimu Sana wakati wa kujumuika na workmates. Lingine ni KUTOKUMUAMINI YEYOTE KWA WAKATI WOWOTE kwani sehemu kubwa ya Chuki na vita makazini husababishwa na mtu kuwa na DETAILS zako.Habari za muda huu
Haya yalinikuta kwenye kazi yangu ya kwanza nilipokuwa bado sijafunzwa na Ulimwengu
1. Chuki ya kwanza nilijisababishia mwenyewe baada ya kutongoza wafanyakazi watatu kwa nyakati tofauti wote walichomoa na kumbe walihadithiana ndipo nikaanza kupitia sarakasi na vitimbi hadi nikaona Ofisi Ni chungu.
2. Chuki ya pili nilikuwa na mshkaji alikuwa anapenda kunitembelea, siku moja alikuta kifaa kinachofanana sana na cha Mradi wa Taasisi, akauliza tu friendly umekitoa wapi, nikamjibu nilinunua dukani. Kumbe alienda kumuambia boss kuwa nimeiba kifaa Cha Mradi! Boss na yeye mwanamke, badala ya kuniita na kunihoji, akachukua uamuzi wa kunipunguzia 75% ya majukumu ikwemo ya site kwa hoja ya kwamba nimekosa uaminifu(japo hakuniamba directly, ila aliongea kwa mafumbo).
3. Nilifiwa, wakateuliwa wawakilishi wa taasisi wanisindikize msibani, baada ya msiba wakarudi kuhadithiana Hali ngumu ya kijijini kwetu. Niliposikia kuwa wamehadithia, nikachukua uamuzi wa kumpiga makofi yule dada. Kumbe ilikuwa ni Mali ya Boss, boss akazidisha vitimbi Hadi nikaona nikubali yaishe nikaacha kazi.
Namshukuru Mungu nilipata kazi Nyingine ambayo Ndiyo naifanya Hadi Sasa. Jambo la Msingi nililojifunza ni PRIVACY& CONFIDENTIALITY Ni muhimu Sana wakati wa kujumuika na workmates. Lingine ni KUTOKUMUAMINI YEYOTE KWA WAKATI WOWOTE kwani sehemu kubwa ya Chuki na vita makazini husababishwa na mtu kuwa na DETAILS zako.
Karibuni tushirikishane matukio ya Chuki na Vita tulivyowahi kupitia kazini.
[emoji108][emoji108][emoji119]1.Usiwe na rafiki wa kazini...
2.Usiwe na mpenzi kazini...
3.Usiwe mmbea...
I can feel it mzeeHaya mambo kama hayajawahi kufika unaweza kuona ni madogo. Ila kiujumla unaweza hata ona kazi haina maana kabisa
Ulikuwa umeajiliwa au ilikuwa ni ya kwakoChuki ya kwanza ilikua hivi.
Kama mwalimu wa daycare. Nilijitolea kupeleka watoto ambao kufika kwao lazima wavuke barabara. Ikiwa tu wazazi wa hao watoto wana dharura.
Kilichokuja tokea wazazi wengine wakaona kama ka mchezo hivi wakataka niwe nafanya hivo kwa watoto wote .
Jambo hilo mimi sikutaka. hapo ndio chuki zikaanza rasmi
Wale Wazazi ambao sikutaka kuwapeleka watoto wao wakawa wanaleta watoto ila hakuna salamu kwa mwalimu..
wengine wakaanza na kuamisha watoto kabisa..
Kwa mda huo nilikua nimeajiliwa mkuuUlikuwa umeajiliwa au ilikuwa ni ya kwako
Wee kuweza😂😂🙌Acha mazoea na workmates hata kunywa nao bia usithubutu, unatafuta matatizo makubwa
🤣 😂 😂Kuna bidada hapa ofisin Kila wiki lazima aniazime buku nne na kudai atarudiaha ila harudishi. Kwa sasa nimemuwekea bajeti ya elfu kumi na sita Kila mshahara mambo yasiwe mengi
Nakazia1.Usiwe na rafiki wa kazini...
2.Usiwe na mpenzi kazini...
3.Usiwe mmbea...
Leta mkuuNgoja nilete kisa changu
Uzi konki sana huu. Tutasikia mengiHabari za muda huu
Haya yalinikuta kwenye kazi yangu ya kwanza nilipokuwa bado sijafunzwa na Ulimwengu
1. Chuki ya kwanza nilijisababishia mwenyewe baada ya kutongoza wafanyakazi watatu kwa nyakati tofauti wote walichomoa na kumbe walihadithiana ndipo nikaanza kupitia sarakasi na vitimbi hadi nikaona Ofisi Ni chungu.
2. Chuki ya pili nilikuwa na mshkaji alikuwa anapenda kunitembelea, siku moja alikuta kifaa kinachofanana sana na cha Mradi wa Taasisi, akauliza tu friendly umekitoa wapi, nikamjibu nilinunua dukani. Kumbe alienda kumuambia boss kuwa nimeiba kifaa Cha Mradi! Boss na yeye mwanamke, badala ya kuniita na kunihoji, akachukua uamuzi wa kunipunguzia 75% ya majukumu ikwemo ya site kwa hoja ya kwamba nimekosa uaminifu(japo hakuniamba directly, ila aliongea kwa mafumbo).
3. Nilifiwa, wakateuliwa wawakilishi wa taasisi wanisindikize msibani, baada ya msiba wakarudi kuhadithiana Hali ngumu ya kijijini kwetu. Niliposikia kuwa wamehadithia, nikachukua uamuzi wa kumpiga makofi yule dada. Kumbe ilikuwa ni Mali ya Boss, boss akazidisha vitimbi Hadi nikaona nikubali yaishe nikaacha kazi.
Namshukuru Mungu nilipata kazi Nyingine ambayo Ndiyo naifanya Hadi Sasa. Jambo la Msingi nililojifunza ni PRIVACY& CONFIDENTIALITY Ni muhimu Sana wakati wa kujumuika na workmates. Lingine ni KUTOKUMUAMINI YEYOTE KWA WAKATI WOWOTE kwani sehemu kubwa ya Chuki na vita makazini husababishwa na mtu kuwa na DETAILS zako.
Karibuni tushirikishane matukio ya Chuki na Vita tulivyowahi kupitia kazini.
Kwani hujui chai? Muongo lazima anakuwa msahaulifuMkuu una mabosi wangapi??
No 2 umesema bosi wako ni ke, no 3 unasema ulimchapa makofi dada ambaye ni mali ya bosi wako.......
Karibu mkuu tupe mkasaUzi konki sana huu. Tutasikia mengi
Hujalazimishwa kuisoma. Nyuzi zipo nyingi. Shenzi sanaKwani hujui chai? Muongo lazima anakuwa msahaulifu
Unaweza kuwa na rafiki. Mimi marafiki zangu ni wale wa chini kabisaaa. Hakikisha una mfagiaji au mtu wagetini ambaye ni rafiki yako. Itakusaidia siku moja.Nilichelewa kufahamu hili